Rais wangu Magufuli, Piga nyungu sana maana kikohozi chako kinanipa wasiwasi mkubwa!

Rais wangu Magufuli, Piga nyungu sana maana kikohozi chako kinanipa wasiwasi mkubwa!

😂😂😂😂😂😂

Aise isije ikawa ya yule dikteta wa Bujumbura maana nae kwenye mkutano wake wa mwisho alikohoa kama kameza kungu mwisho mauti[emoji3]tumuombeee Rais wetu amalize muda wake oktoba salaaama
 
Leo halali ATAKESHA na nyungu usiku kucha huku akichukua mapumziko ya dakika chache hapa na pale. Nyungu hadi asubuhi 😜

Aise isije ikawa ya yule dikteta wa Bujumbura maana nae kwenye mkutano wake wa mwisho alikohoa kama kameza kungu mwisho mauti[emoji3]tumuombeee Rais wetu amalize muda wake oktoba salaaama
 
Ingekua ni corona hata kusimama na kuhutubia ingekua mtihani. Haswa muda ambao na dalili ya kukohoa ishakuanza.

Alisema mwanae aliumwa na akapona, mbona ni interval kubwa tangu huyo mwanae aumwe ndiyo dalili azipate leo?
Walinzi wake si wanaenda mitaani huko Dodoma wanaweza kuja nayo toka mitaani wakamuambukiza kama kule Burundi walivyoambukizwa
 
nyie WAPUUZI ndo mnaombea Mwenyekiti wetu afe. mlifanya hivyo hivyo kwa TAL. kwetu sisi Rais ni taasisi iliyowekwa Kikatiba. hata siku moja hatuwezi kuombea Rais wa nchi yetu afe hata kama tunapingana nae.
Mbona ulimtumia Moshi kule Ruangwa ukataka kumteketeza?
 
Nani katukanwa? Mbowe kalewa na kavunjika mguu ni tusi hili?

CCTV footage zingeweza kuweka ukweli wote hadharani, kuliko upotoshaji wowote unaofanywa kwa makusudi ya kuficha ukweli.
 
Mh Rais kaongea muda mrefu leo, tokea kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara kilometa 51 toka Dodoma mjini, akaenda kwenye makao makuu mapya ya Jeshi la Zima Moto kufungua, lazima mtu ukohoe wakati mwingine ni kawaida tu ukiwa umeongea muda mrefu, pia yeye ni mwanadamu kwani akikohoa tatizo ni nn? . Ila ww mtoa mada nia yako ni kumuombea mabaya mh. Rais, ila Mungu sio wa kubeza, unapomuombea mwenzako mabaya yatakurudia ww.

Maelezo yako ni sahihi kabisa, lakini hata waziri wa fedha aliongea muda mrefu leo na hakukohoa. Hata hivyo huyo mleta mada anasema hicho kikohozi sio cha leo tu. Hivi unapata picha gani unaposikia Mbowe kavunjika mguu kwa ajili ya ulevi, tena maelezo hayo yanatolewa ndani ya bunge, huku CCTV Footage za kumaliza utata huo zikifumbiwa macho? Au akisemwa rais anaombewa mabaya, lakini upotoshaji dhidi ya Mbowe ni sahihi! Ama ndio mambo ya damu nzito kuliko maji?
 
Umewakemea wanaomkejeli Mbowe anaeteseka na maumivu kuwa alianguka kwa ulevi?
Ulevi kawaida tu na hakuna anayemwombea Mbowe awe mlevi.
JamiiForums1171215835.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom