Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 2,311
- 4,689
Mtanzuko uliopo ambao kundi Fulani linahisi halitendewi haki hauwezi kutatuliwa kwa kutumia jeshi la polisi ,mahakama na magereza !
Ni sauti yako tu tena ni kikao Cha nusu saa tu Kila kitu kitakuwa sawa !! Inua simu moja tu waambie wapinzani njooni tuzungumze ! Usitumie nyundo au panga kumuua inzi aliye kichwani pako mwenyewe! Kukaa kimya nakuendelea kuwakamata wapinzani ,kuwatia ndani na kuwafungulia makesi makubwa makubwa hakuweza kuwatisha wapinzani wako kwa Sasa !
Tafsiri yake nikama unaogopa uchaguzi ukiwa huru na wa haki utapoteza labda wabunge wengi la hasha ! Njia unayoitumia kuelekea uchaguzi mkuu sio sahihi ,inaleta taharuki isiyo na maana yoyote kitaifa na kimataifa !
Unajiharibia heshima kubwa uliyojiwekea Dunia kote ! Kama kweli Tanzania ni nchi ya amani basi haraka sana wapinzani wachiwe na waendelee na siasa zao ! Rais wangu wa chama Cha bao hapa kipunguni b najuwa utasoma na kama hutanielewa basi waite maaskofu na mashekhe wakushauri katika hili ,
Mimi ni mwanachama hai wa chama Cha bao hapa kipunguni b na wewe ndo rais wangu mtoto wa Hassani !