Rais wangu mlima wenye mawe magumu haukosi dhahabu, shusha upanga ,wapinzani wana hoja wasikilize usiwapuuze

Rais wangu mlima wenye mawe magumu haukosi dhahabu, shusha upanga ,wapinzani wana hoja wasikilize usiwapuuze

Hao wavaa kijani wenzake, hakika wamefanikiwa kumwingiza shimoni.

Muda si mrefu, huyu mama ataonekana ni kiongozi wa hovÿo mwanamke kuliko wote Duniani.

Kwa asili viongozi wanawake, katika nchi nyingi huwa wana hekima na siyo makatili. Wanaume wa kijani wamefanikiwa kumchafua hasa, atachukiwa na kila mtu.
Unachokiona kinaendelea ndio tabia yake halisi, utu, upendo na usikivu yalikuwa maigizo tu.
 
Back
Top Bottom