Rais wangu mlima wenye mawe magumu haukosi dhahabu, shusha upanga ,wapinzani wana hoja wasikilize usiwapuuze

Mtanzuko uliopo ambao kundi Fulani linahisi halitendewi haki hauwezi kutatuliwa kwa kutumia jeshi la polisi ,mahakama na magereza !

Ni sauti yako tu tena ni kikao Cha nusu saa tu Kila kitu kitakuwa sawa !! Inua simu moja tu waambie wapinzani njooni tuzungumze ! Usitumie nyundo au panga kumuua inzi aliye kichwani pako mwenyewe! Kukaa kimya nakuendelea kuwakamata wapinzani ,kuwatia ndani na kuwafungulia makesi makubwa makubwa hakuweza kuwatisha wapinzani wako kwa Sasa !

Tafsiri yake nikama unaogopa uchaguzi ukiwa huru na wa haki utapoteza labda wabunge wengi la hasha ! Njia unayoitumia kuelekea uchaguzi mkuu sio sahihi ,inaleta taharuki isiyo na maana yoyote kitaifa na kimataifa !

Unajiharibia heshima kubwa uliyojiwekea Dunia kote ! Kama kweli Tanzania ni nchi ya amani basi haraka sana wapinzani wachiwe na waendelee na siasa zao ! Rais wangu wa chama Cha bao hapa kipunguni b najuwa utasoma na kama hutanielewa basi waite maaskofu na mashekhe wakushauri katika hili ,

Mimi ni mwanachama hai wa chama Cha bao hapa kipunguni b na wewe ndo rais wangu mtoto wa Hassani !
 
Ongea na kikwete Mama haeleweki
 
Aisse
 
Sio kweli. Lissu kakataa vikao vya gizani kama vile vya Mbowe kupelekwa Ikulu. Lissu anataka wadau wote kukaa pamoja na kupata muafaka wa kitaifa. Yupo Tayari hats uchaguzi usogezwe mbele.wa
 
Hivi mtu anaetaka tume ziwe huru tupate Viongozi wanaochaguliwa na Wananchi ni kweli World is not fair
 
Kosa kubwa analofanya Samia ni kuwaona wapinzani ni maadui zako kosa ambalo Magufuli pia alilifanya. Mzee Ruksa aliwahi kumuasa kuwa adui yako siyo wapinzani bali wavaa shati za kijani wenzako.

Hao wavaa kijani wenzake, hakika wamefanikiwa kumwingiza shimoni.

Muda si mrefu, huyu mama ataonekana ni kiongozi wa hovÿo mwanamke kuliko wote Duniani.

Kwa asili viongozi wanawake, katika nchi nyingi huwa wana hekima na siyo makatili. Wanaume wa kijani wamefanikiwa kumchafua hasa, atachukiwa na kila mtu.
 
Unapigaje kura?🤔
NO REFORMS NO ELECTION
 
Mtanzuko uliopo ambao kundi Fulani linahisi halitendewi haki hauwezi kutatuliwa kwa kutumia jeshi la polisi ,mahakama na magereza !

Ni sauti yako tu tena ni kikao Cha nusu saa tu Kila kitu kitakuwa sawa !! Inua simu moja tu waambie wapinzani njooni tuzungumze ! Usitumie nyundo au panga kumuua inzi aliye kichwani pako mwenyewe! Kukaa kimya nakuendelea kuwakamata wapinzani ,kuwatia ndani na kuwafungulia makesi makubwa makubwa hakuweza kuwatisha wapinzani wako kwa Sasa !

Tafsiri yake nikama unaogopa uchaguzi ukiwa huru na wa haki utapoteza labda wabunge wengi la hasha ! Njia unayoitumia kuelekea uchaguzi mkuu sio sahihi ,inaleta taharuki isiyo na maana yoyote kitaifa na kimataifa !

Unajiharibia heshima kubwa uliyojiwekea Dunia kote ! Kama kweli Tanzania ni nchi ya amani basi haraka sana wapinzani wachiwe na waendelee na siasa zao ! Rais wangu wa chama Cha bao hapa kipunguni b najuwa utasoma na kama hutanielewa basi waite maaskofu na mashekhe wakushauri katika hili ,

Mimi ni mwanachama hai wa chama Cha bao hapa kipunguni b na wewe ndo rais wangu mtoto wa Hassani !
G55 wasikilizwe pia
 
Back
Top Bottom