bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
Okay
Kama uchukuzi ni suala la Muungano kwa nini Tanzania Port Authority ni shirika la Tanganyika peke yake, by law
Yani sheria inayounda TPA inatamka hii sheria mwisho Chumbe
How come ?
Ndio,uchukuzi si ni swala la muungano-ndio maana Waziri ametoka Zanzibar.
Serikali tatu haziepukiki ili kumaliza mitafaruku ya kila mara !!Kwanini Tanganyika isifanyee serikali yake kuondoa utata, Zanzibar tayari wana serikali yao.
Hii Chumbe ikoje. ??! Nakumbuka hata hayati Mzee Karume alipata kusema siasa za Ujamaa za Nyerere mwisho wake Chumbe π π πkama Uchukuzi na bandari ni suala la Muungano kwa nini Tanzania Port Authority ku operate mwisho Chumbe kwa mujibu wa sheria namba 17 ya 2004 ??
Hakuna haja ya serikali tatu,Serikali tatu haziepukiki ili kumaliza mitafaruku ya kila mara !!
Ibaki kama sasa ?!!Hakuna haja ya serikali tatu,
Sasa mkuu mbona mawaziri wa afya wakienda kwenye mkutano wa WHO waziri wa Afya kutoka Tanzania anaenda mfano Doroth Gwajima, kwanini waziri wa Afya kutoka Zanzibar hatumuoni kwenda?Maana zipo wizara ni za muungano na zipo ambazo sio za muungano bali ni za Tanzania mainland (Bara) !
Kwa mfano wizara ya mambo ndani ni ya muungano lakini wizara ya Afya sio ya muungano. !! Bandugu Twendeni Polepole !![emoji28][emoji28][emoji120][emoji120]
Kila mtu aende na njia yakeIbaki kama sasa ?!!
Huenda ni njia ya kubana matumizi tu !Sasa mkuu mbona mawaziri wa afya wakienda kwenye mkutano wa WHO waziri wa Afya kutoka Tanzania anaenda mfano Doroth Gwajima, kwanini waziri wa Afya kutoka Zanzibar hatumuoni kwenda?