johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waziri asiyetambulika Zanzibar Huyo ni wa Tanzania Bara ( Tanganyika)Hakuna Waziri wa serikali ya Tanzania bara.
Very simple!
Waziri asiyetambulika Zanzibar Huyo ni wa Tanzania Bara ( Tanganyika)Hakuna Waziri wa serikali ya Tanzania bara.
Wanaipaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kwenye mambo ambayo wanaona yana faida kwao wanataja uwepo wa bara a.k.a tanganyika kwenye mambo ambayo hayana faida kwao hawatambui uwepo wakeTanzania Bara !! Ambayo imevaa imejivisha koti la JMT !! 😅🇹🇿 !
Ndivyo ilivyo kifikra au kikatiba?Waziri asiyetambulika Zanzibar Huyo ni wa Tanzania Bara ( Tanganyika)
Very simple!
Kwanini Tanganyika isifanyee serikali yake kuondoa utata, Zanzibar tayari wana serikali yao.Waziri asiyetambulika Zanzibar Huyo ni wa Tanzania Bara ( Tanganyika)
Very simple!
Uko sahihi ila wao wanaona jina Zanzibar ni la thamani sana lazima walitaje Tanganyika wamelibatiza Tanzania bara maana kutaja Tanganyika ni matusi. Muungano huu ili udumu lazima urekebishwe uwe aidha na serikali tatu au serikali moja. Km Wazanzibar hautaki hivyo warudi kwao, Mkapa alishawaambiaga wapemba wakati mnaondoka kariakoo hamtaondoka na mfuko unaozidi kilo 20. Wazanzibar hasa wapemba walivyo na midomo utafikiri watu wa maana kumbe majinga maskini ya kutupwa yana hamu sana ya kuolewa na M-Oman, wache wakafunge ndoa zao. Huyu rais ukimwangalia sana ana kaubaguzi flani anaiona Zanzibar ni ya maana sana na muhimu sana.Hapa ilitakiwa iwe "Tanzania mainland and Tanzania islands (Tanzania Bara na Tanzania visiwani i, e Unguja ,& Pemba). Hivi ndivyo tulivyosoma darasani siyo Tanzania mainland na Zanzibar (Tanzania Bara na Zanzibar ( Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar) ndiyo nini.
Serikali ya Muungano ni Uwoga wenu tuWewe kweli kilaza, wizara ya ni ya Tanzania bara ila ipo chini ya serikali ya Muungano. Acheni kutetea ujinga. Kwanini hiyo wizara ya Tanzania bara isiwe na serikali yake?
Atakuja tokea rais jasiri watamwita kichaa ataamua juu ya muungano sahihi, bila hivyo itabidi uvunjike tu. Ni serikali moja au tatu Wazanzibar hawataki waondoke wakaungane na Oman maana ndiko wanakotamani sana.Ila huu muungano ni pasua kichwa basi tu.
Samia is a bloody idiot.Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wepi?
Ha ha ha haaa.Unadhani suala la Bandari limewaacha watu na akili zao?
Hali siyo nzuri na taratibu tutaanza kuona watu wakiitaja Tanganyika.
siyo BAVICHA ni watanganyika km nyie ni wazanzibari. Km usawa basi watuite watanzania bara na watanzania visiwaniMnalilia Tanganyika
Mkiitwa Watanzania Bara hamtaki, bavicha mna vituko visivyoisha!
wazanzibar wabinafsi sana mafuta ilikuwa suala la muungano walivyoona uwezekano wa kupatikana mafuta wakimbilia kuita kero ya muungano na ili watulie wakaruhusiwa wachimbe mafuta yao.Tukio hili na mkataba wa bandari limefunua siri ya umuhimu wa Serikali TATU. Kungekuwa na serikali ya Tanganyika serikali ya Muungano ingekemewa na Tanganyika. Kumbukeni ile issue ya ugunduzi wa mafuta kule Zanzibar jinsi wazanzibar walivyokomaa.
Ya Tanganyika ipo ndio uliona Lowassa alisaini MoUKwanini Tanganyika isifanyee serikali yake kuondoa utata, Zanzibar tayari wana serikali yao.
Kwani nyie mmekatazwa na nani kuwaita Tanzania Visiwani?siyo BAVICHA ni watanganyika km nyie ni wazanzibari. Km usawa basi watuite watanzania bara na watanzania visiwani
Hao mawaziri wa Tanzania bara wanaitumikia serikali ipi? Wale wa Znz iko wazi wanaitumikia serikali yao ya Znz (wanaitika kwa rais wa Znz) na wale wa JMT wanaitumikia serikali ya Jamhuri ya Muungano (iliyoshirikishi) chini ya rais wa JMT, je hao wengine wa bara wanaitumikia serikali ipi? Nimepata mawazo kdg kuhusu ile hoja ya Katiba ya Warioba ya serikali 3. Ingeondoa utata huuLeo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wepi?
Sasa kama ndivyo, hao mawaziri wake unawatolea wapi?Ni kweli..... Tanganyika imemezwa ndani ya Tanzania na ikapotea mazima.....
Kwa hiyo tuna jumla ya serikali ngapi ndani ya nchi inayoitwa Tanzania?Ipo na Mkuu wake ni Waziri wa Tamisemi Angella Kairuki
Ulishawahi kuwaona/kuwasikia Wazanzibari akiwemo huyo Mama, wakijitambulisha mahali popote pale kutokeaTanzania bara/Tanganyika na Tanzania visiwani/ Tanzania Zanzibar
Okayndiyo