Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Rudia kufafanua, haieleweki kwa urahisiWizara kutokua ya muungano haimaanishi hiyo ni wizara ya tanganyika. Hatuna serikali ya tanganyika, hivyohivyo hatuna wizara ya tanganyika
Rudia kufafanua, haieleweki kwa urahisiWizara kutokua ya muungano haimaanishi hiyo ni wizara ya tanganyika. Hatuna serikali ya tanganyika, hivyohivyo hatuna wizara ya tanganyika
Ujenzi/Uchukuzi je!!?Wote ni mawaziri Tanzania Bara except mambo ya Nje na ulinzi...
Kuna serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambamo ndani yake kuna semi-autonomous serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Elewa hilo na sijui kama rais Kikwete alilijua hilo pia wakati anapanga madaraka ya urais.Unanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.
Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
Tanganyika ipo isipokuwa haitamkwi tu hadharani mara kwa mara kwa jina lake halisi ,Ni mjinga tu anayeamini Tanganyika haipo!
Jaribu kuwa Diwani ndio utaelewa Tanganyika inavyoishi!
Kikwete alipanga madaraka ya URais wa wapi ??! Hilo limenipita !Kuna serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambamo ndani yake kuna semi-autonomous serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Elewa hilo na sijui kama rais Kikwete alilijua hilo pia wakati anapanga madaraka ya urais.
Kuna nchi ya Tanganyika?Hao Wote ni Mawaziri wa Tanganyika ukiondoa Ulinzi, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani!
Tanzania Bara = TANGANYIKAKama tuna wizara za tanganyika pia tuna serikali ya tanganyika?
Hatutaki kuitwa tu pale inapowapendeza kwa maslahi yao. Kama kuna mawaziri wa bara na uchukuzi ni wizara ya nara iweje waziri na katibu no wazenjiMnalilia Tanganyika
Mkiitwa Watanzania Bara hamtaki, bavicha mna vituko visivyoisha!
Wakati wa sakata hili la DP world zanzibar wamekana kuwa si suala la muungano tenaNdio,uchukuzi si ni swala la muungano-ndio maana Waziri ametoka Zanzibar.
Tanzania Bara !! Ambayo imevaa imejivisha koti la JMT !! 😅🇹🇿 !Kuna nchi ya Tanganyika?
Imevaa koti la JMT ! Likimbana hilo koti anaweza akaamua vinginevyo !Kwani tuna serikali ya tanganyika?
Sasa wewe huelewi kuwa kuna Tanzania bara na Tanzania visiwani?Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wepi?
Ufafanuzi mzuri kabisa !Nchi ya Tanganyika ni Mainland (Bara) na nchi ya Zanzibar ni Islands ( Visiwani Unguja & Pemba), baada ya muungano jina la Tanzania likapatikana na nchi ya Tanganyika likapoteza jina lake lakini nchi ya Zanzibar bado linatumika hadi leo. Katika mungano kuna mambo hayahusu muungano wa nchi hizi mbili na kupelekea kuyaainisha kutokana na pande husika, hivyo basi tukitaka kuzungumzia jambo ambalo ni la Bara tunapendelea kusema Tanzania bara na visiwani huwa tunatumia Zanzibar na si Tanzania visiwani kwani tukisema Tanzania visiwani haileti mantiki nzuri kwa kuwa Tanzania bara inayo visiwa vyake (Takriban visiwa 23 vya baharini na ziwani).
Huku Tanganyika pia vipo visiwa kibao! Je mafia utaiita Tanzania Visiwani ?Yani hapo nimetoa ufafanuzi nzuri haina haja ya kuvutana. Ni kwamba ukishakuwa na mainland it means kuna island. Over. Tusipende kutetea vitu visivyowezekana. Au hili nalo linahitaj ligi km la bandari.
Mama Samia kafanya vyema mbele ya halaiki, mbele ya Wafadhili kaweka sawa, Wazanzibari wasije wakadai mhgao kumbe hizopesa ni msada wa Bajeti ya Tanzania bara. Haziihusu bajeti ya Zanzibar.Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wepi?
Chuki itakuuwa MDANGANYIKAMkuu yule mpemba hana mpango na sisi Watanganyika ndo maana katuuza kwa waarab. Yaani ni ilee akitaka kutamka JMT kuna dude linamkaba koo kwa madhambi alotufanyia wamatumbi.