Sasa naanza amini yatamkuta ya mtangulizi wake hivi pundeNaona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Soma Pia
- Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Nasikia eti amepanga kuendeleza task force kama Ile ya wakati ule, ikiwa ni kuwanyanganya wafanyabiashara fedha
Naona anapita mule mule alimopita mtangulizi wake
Sisi watumishi kazi yetu ni kuomba nankuliombea taifa