Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #261
Jifunze kujibu unachoulizwaZimbabwe ipo na inaendelea.🙏🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kujibu unachoulizwaZimbabwe ipo na inaendelea.🙏🙏
Usiwe mbishi unapofundishwa. Russia alishachapika na kukamatwa na German, mpaka western allies walipokija kumsaidia. Hizo story za baridi ni story za vijiweni tu, Russia kuna baridi na German walilifahamu hilo, kilichofanya washindwe ni majeshi ya MagharibiRudi darasani ujerumani alikuja kufia urusi na vifaru vyake. Tena wakati wa baridi Kali
Najua nilichojibu. Alimwambia Blair, " Blair, kaa na England yako na mimi niache na Zimbabwe yangu." Point zilizowagonganisha ni nchi siyo Blair na Mugabe. Elewa mantiki.🙏🙏🙏Jifunze kujibu unachoulizwa
Kama darasani hukwenda basi tumia hata hicho kiberiti chako hapo ku google usiwe mvivu Siku hizi hata mangumbaru wanajifunza mambo.Usiwe mbishi unapofundishwa. Russia alishachapika na kukamatwa na German, mpaka western allies walipokija kumsaidia. Hizo story za baridi ni story za vijiweni tu, Russia kuna baridi na German walilifahamu hilo, kilichofanya washindwe ni majeshi ya Magharibi
Wewe ni muongo.Alafu kama anawakumbatia wasiompemda s gang.
Naona ananata na biti zao. Ajifunze kwa mwenzake. Alikuwa na pacemaker wametengeneza wazungu alafu akawa anawafokea. Kilichotokea wote tunajua
Nilisema itanichukua muda mrefu sana kuamini kama Tanzania ina Raisi.Naona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Soma Pia
- Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Tena tumezizika vibaya saanaZile porojo za wapambe kuhusu kuimarika diplomasia tumezizika leo rasmi.
Sisi wengine tuna-enjoy show kwa mbaaalii
German alikamata sehemu kubwa sana ya USSR, Stalingrad ni moja ya majiji. Hapa tunaongelea uvamiz wa USSR territories zote wewe unaleta yaliyotokea kwenye mji mmoja.Kama darasani hukwenda basi tumia hata hicho kiberiti chako hapo ku google usiwe mvivu Siku hizi hata mangumbaru wanajifunza mambo.View attachment 3099136View attachment 3099137
Maneno mengi pumba tupu. Nimekuwekea battle iliyomfanya urusi aishinde ujerumani huamini huoni au huelewi?German alikamata sehemu kubwa sana ya USSR, Stalingrad ni moja ya majiji. Hapa tunaongelea uvamiz wa USSR territories zote wewe unaleta yaliyotokea kwenye mji mmoja.
Elewa kwamba Russia ilipoteza 34% of ya population yake, huweza ukasema population hiyo ilikuwa Stalingrad, 54% ya ardhi yake ya viwanda, huweza ukasema yote ilikuwa Stalingrad, 89% ya migodi yake ya makaa ya mawe, and 26% ya reli zake. Huwezi ukasema vyote hivyo vilikuwa Stalingrad.
Kilichotokea Stalingrad, USSR walioosikia German wanakuja wao walichoganya walihamisha watu wote, wakachoma nyimba zote, wakachoma vyakula na kila kitu. German walipofika pale wakakuta patupu na hivuo hesabu zao kuwa tofauti wakajikuta wanalala nje kwenye baridi kali na wakiwa na njaa. Hawakuwa na kogistics za kusonha mbele zaidi ya pale, hivyo askari taktiban 100, 000 walifia pale kwa naridi, njaa na magonjwa mengine. Hicho ndiyo kilitokea huko Staligrad ambayo sasa huvi inajilikana kama Volgograd Oblast.
Staligrad ni sehemu ndogo tu, tuambie kuhusu maeneo mengine including Moscow, nini kilitokea?
Hata vyoo tu unashindwa kujenga wanakujengea alafu unaleta mashudu hapaUjinga na upumbavu ni kuamini 100% hao jamaa zenu wana uchungu kweli na hiki kinachowatokea nyinyi.
Embu angalieni congo drc,sudan na kwingineko mjue kwanini chura kiziwi anawakoromea.
Sijasema yuko sahihi,sikubaliani kabisa na hoja kwamba wanaumizwa sana na mwenendo huo,na wako tayari kufanya kitu baada ya tamko lao.
SA100 anawajua vyema hao watu kuliko wewe.Hata vyoo tu unashindwa kujenga wanakujengea alafu unaleta mashudu hapa
Kwani kwenye sherehe za polisi uliona mkuu wa nchi ameambana na familia yake? Usiwapangie cha kufanya hata wewe hujaja na familia yako hapa jfTunawasubiri barabarani na familia zenu na sio kuwatanguliza watoto wa masikini, wenyewe mkiandamana kwenye laptop
Kuna shida gani endeleeni kuwaua wanaowapinga, watekeni na wafanyieni yote.SA100 anawajua vyema hao watu kuliko wewe.
Anajua pia hawaishii kumjengea tu choo mpaka kukitumia wanamuelekeza pia,ukitaka kuelewa ninachokwambia subiri 23 sept.
Tumieni akili muungwe mkono na wananchi sio jf na twitter peke yake.
Hapa kwenye vita ya Ukrain umechemka inaonekana habari zako zinatoka bbc na cnn. Mrusi anamgonga Nato pale vzr tuNaona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Soma Pia
- Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Hizi data umezitoa wapi mkuuHiyo China unayoibeza ndio inayoongoza kwa gold reserves na dollar reserve duniani.
Kama anamgonga vizuri mbona vita vinaendelea mwaka wa 3 huu?Hapa kwenye vita ya Ukrain umechemka inaonekana habari zako zinatoka bbc na cnn. Mrusi anamgonga Nato pale vzr tu
Waovu kwa kuwa wanaua watu, kila anayewakosoa wanafikiroa anataka kuwaua. Ndiyo maana mtu akikosoa tu kitu chochote, uovu wao unawapa hofu, na kufikiria vitu vya ajabu.Nani kasema anategemea Marekani kupindua nchi? Umeishia darasa la ngapi?
Umeelewa hata hoja iliyopo kwenye uzi?