Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Sasa naanza amini yatamkuta ya mtangulizi wake hivi punde

Nasikia eti amepanga kuendeleza task force kama Ile ya wakati ule, ikiwa ni kuwanyanganya wafanyabiashara fedha

Naona anapita mule mule alimopita mtangulizi wake
Sisi watumishi kazi yetu ni kuomba nankuliombea taifa
 
Kifuu, kifuu, kifuu!
 
Ulitegemea Israle na Marekani watasema wazi tumehusika sasa hivi na tension yote hii?

CIA wanatoaga ripoti za missions zao baada ya miaka hata 30- 50 utakuja kusikia ukiwa hai bado
Kwahiyo wewe una ripoti za miaka 30 Hadi 50 ijayo hivi sasa kutoka kwa CIA?
 
Ndo mana tunamsanua hapa. Anayoambiwa hapa hawezi ambivalent hata na hao TISS.

Huko CCM ndo wanasubiri aje mwingine makundi mengine wapate ulaji.
Ambivalent, ina jumuisha mrejesho chanya na hasi, kwenye ujasiriamali unatakiwa upate mrejesho toka kwa wateja huwezi kuchukia ukipata mrejesho hasi lengo la kupata mrejesho ni kuboresha huduma ama bidhaa, kwa kufanya hivyo unajihakikishia wateja hawakauki kwenye biashara yako, " feedback from customers will keep them for life"
 
Kibibi kimezingua mno leo, halaf kinaichukulia Tanganyika kama Kizimkazi vile, nyau kweli kibibi kile
Alisema " Yeye anaongoza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na SIYO Serikali ya SAMAKI"" Upuuzi mtupu.
 
Urusi haijawahi kupigana vitakuu ya pili ya dunia, pia vita hiyo ilimalizwa Marekani baada ya Japan kujisalimisha kwa US.
 
Huyu acha ajipe kichwa. Walahi watapita nae. Wazungu ni next level wakikuamulia.
 
Tanzania haiongozwi kwa amri kutoka Washington DC, 10 Downing Street wala Brussels. Tunachofanya ni heshima ya kidiplomasia. Mzee Mugabe aliwahi kumwambia Tony Blair: " Blair, kaa na England na mimi niache na Zimbabwe yangu." Nasimama na Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ehee Mzee Mugabe aliishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…