Hata wewe akili yako inakutima ivo, kwamba toka mwaka 1970, chombo hakikuwahi kufanyiwa service.? yani good 54 years bila service, like serious??Sio mimi walosema ni wenyewe Iran.
Tokea utawala wa kiislam uingie waliwekewa vikwazo vya kununua hizo helikopta pamoja na spare zake.
Aya wewe niambie wangewezaje kuifanyia ukarabati kwa vifaa vya wapi!??
Inafikirisha sana! sio kila unachoambiwa unakubali, fikiria nje ya box .