Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Wewe ni mtu ambaye hujui siasa za mashariki ya kati.
Kaketi ujifunze,ndio maana unaokoteza okoteza habari za UONGO.
Hakuna impact yeyote ambayo ni positive kwa USA ama Israel kumuua rais wa Iran.
Kwasababu maamuzi mengi makubwa anatoa Ayatollah Khomeini kiongozi wa dini wa Iran.
Kama kuuliwa alitakiwa auliwe yeye ndio ingekua pigo kubwa kwa Iran.
Narudia tena HUJUI SIASA za mashariki ya kati usidanganye watu humu.
Sawa basi umeshinda. Inaelekea unapenda sana ligi. Amini unachoamini
 
China hamtegemei kibiashara USA na wala hamuibii teknolojia USA.
Inaonekana uko mis informed sana.
Acha kukaa vijiweni fanya tafiti.
Hiyo China unayoibeza sasa hivi ndio inaongoza kwenye uwekezaji wa R&D.
Hiyo China ndio inaongoza kwa contribution of manufactured goods duniani.
Hiyo China unayoibeza ndio nchi pekee iliyokopesha fedha sawa na IMF/WB.Kitu ambacho USA akikifanya anafirisika on the spot.
Hiyo China unayoibeza ndio inayoongoza kwa gold reserves na dollar reserve duniani.

Embu kaeni msome msichukue stori za vijiweni.
Acha kulisha udwanzi ...Investment ya fedha za viwanda huko China zinatoka USA china ni cheap labour
 
Naona leo umejitutumua mama yangu!

Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.

Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!

Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli

Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Mbaya zaidi Putin hajawahi kutoa msaada hata wa kiberiti
 
Tatizo moja la ukishakua Rais unashidwa kutambua adui wa kweli nani mwisho wa siku unajikuta chali na hiyo ni kuendekeza machwa wanaokuzunguka hakuna kitu kibaya kama kupenda kuskia mazuri tu mabaya yako utaki kuyaskia mwisho wao unakuaga sio mzuri.
 
Anataka asifiwe kila saa
 
Naona leo umejitutumua mama yangu!

Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.

Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!

Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli

Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Naona hata alichoongea kilikua hakieleweki, analaumu kuwa Watu wamestushwa na kifo cha kibao lakini pia anasahau kuwa yeye kaagiza pia Polisi wampe report haraka..... eeghh MUNGU
 
Kwa kifupi asingeongelea sana ile issue.

Maana tayari ma analyst wa M16 na CIA saivi wanasikiliza hotuba yake na kuandika opinion kwa viongozi wao.
 
Acha kulisha udwanzi ...Investment ya fedha za viwanda huko China zinatoka USA china ni cheap labour
Acha uzwazwa na ukae chini utafiti.
China kufikia 1992 ilikua ina viwanda ELFU ARUBAINI NA TANO ambavyo ni FULL GOVERNMENT OWNED.
Japo baadhi vilikua vya watu binafsi ila vilikua na government subsidies.
Viwanda vingi vya China vikubwa na makampuni mengine ni government subsidies vikimilikiwa na China wenyewe.
Uwekezaji wa USA na wazungu ndani ya China hauwezi ukashindana na uwekezaji wa China wenyewe wazawa.
Kuanzia simu,nguo,magari n.k n.k.
 
Naona leo umejitutumua mama yangu!

Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.

Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!

Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli

Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
It's a denial stage, and denial is never a solution to any problem.
 
Naona leo umejitutumua mama yangu!

Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.

Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!

Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli

Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Ingieni porini kama hamtishwi ili uone kweli Putin ndo anategemewa?
 
Kazi yake kuu ni kuuza silaha. Kataitishwa na Ukraine saivi hadi anaenda kuomba silaha Iran na North Korea
Urusi silaha anazochukua Iran ananunua na N.Korea ananunua pia.
Russia ndio main distributor wa petroleum energy Eastern Europe na Western Europe,Germany asilimia kubwa ya nishati mafuta na gesi anategemea Russia
Pia Russia ni miongoni mwa wauzaji ngano wakubwa duniani.
 
Back
Top Bottom