KWa hiyo sasa unawategemea Wamarekani wakusaidie kupindua nchi au?Sawa
Si Gadafi nae alikuwa mwanaume wa Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWa hiyo sasa unawategemea Wamarekani wakusaidie kupindua nchi au?Sawa
Si Gadafi nae alikuwa mwanaume wa Dar
Huwenda hukufuatilia lile tukio.Waulize Iran kikichotokea kwa Rais wao waliyemzika juzi kati
Nani kasema anategemea Marekani kupindua nchi? Umeishia darasa la ngapi?KWa hiyo sasa unawategemea Wamarekani wakusaidie kupindua nchi au?
Kwani Gadaffi unayemtaja si walimpindua kwa kutumia wasaliti wa Libya kama wewe!!?Nani kasema anategemea Marekani kupindua nchi? Umeishia darasa la ngapi?
Umeelewa hata hoja iliyopo kwenye uzi?
Unadhani USA na NATO wana uwezo wa kufanya tukio katika mataifa mengine kama ilivyo kwa Gaddafi!??Sawa
Si Gadafi nae alikuwa mwanaume wa Dar
Sasa hivi kuna balance kubwa sana of power mkuu.Kwani Gadaffi unayemtaja si walimpindua kwa kutumia wasaliti wa Libya kama wewe!!?
Usipotoshe watu kaka.Achana na huyu mtu. Hili jabali linatisha.
Rais wa Iran juzi walimzimia helicopter iliyombeba tu watu wakarudisha mpira kati!
Ulitegemea Israle na Marekani watasema wazi tumehusika sasa hivi na tension yote hii?Huwenda hukufuatilia lile tukio.
Ile helikopta aliyeitumia Ebrahim Raisi ilinunuliwa miaka ya 1970s kipindi cha Mohammed Shah kabla hajapinduliwa na kina Khomeini 1979.
Na mara mwisho kufanyiwa service ni 1978 kama sijakosea.
Tokea hapo baada ya Islamic revolution pale Iran USA ili ban kuwauzia ndege Iran na kuwauza spare za ndege Iran.
Hivyo ile ndege ilianguka kwa matatizo ya kiufundi.
Wala sio assassination attempt ya USA.
Maana watu walimsingizia hadi Israel Netanyahu alikataa.
Exactly!!Naona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, Marehemu aliyekuwa rais wa Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengine. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
HAtuhitaji mtu kutusaidia au kutuelekeza ni sisi kuchagua tunataka siasa za ushindani au hatutaki basi tusileteane shids zaidi.Anamtegemea Xi Jinping
Usipotoshe watu kaka.
Hiyo helikopta aliyotumia Ebrahim Raisi ilikua ni outdated toka 1970s.
Na haikufanyiwa service toka mwaka huo.
Spare zenyewe USA walikataa kuwauzia Iran wakiwaekea zuio.
Kilichomuua ni uchakavu sio kuzimiwa mitambo.
Hili tukio walilikana na hakuna namna wamehusika.Ulitegemea Israle na Marekani watasema wazi tumehusika sasa hivi na tension yote hii?
CIA wanatoaga ripoti za missions zao baada ya miaka hata 30- 50 utakuja kusikia ukiwa hai bado
Dooh pole sana.Endelea kuishi kwenye dunia yako. Watu wapo kazini kijana
Wewe ulitegemea watasema wazi tumemuua Rais wa nchi fulani.Hili tukio walilikana na hakuna namna wamehusika.
Embu msipende kukariri vitu.
Mfumo wa helikopta ya Ebrahim Raisi ulikua wa zamani na ulishabadilishwa.
Narudia tatizo lilomuua ni la kiufundi sio assassination attempt.
We kaa endelea kuwa brain washed.
Anavyo vyombo vya ulinzi, Mwijaku na Doto magari....beberu gani litamtishaaa?Naona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Wewe ni mtu ambaye hujui siasa za mashariki ya kati.Wewe ulitegemea watasema wazi tumemuua Rais wa nchi fulani.
Inaelekea bado u mtoto sana. Ukikua utaelewa