Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Waulize Iran kikichotokea kwa Rais wao waliyemzika juzi kati
Huwenda hukufuatilia lile tukio.
Ile helikopta aliyeitumia Ebrahim Raisi ilinunuliwa miaka ya 1970s kipindi cha Mohammed Shah kabla hajapinduliwa na kina Khomeini 1979.
Na mara mwisho kufanyiwa service ni 1978 kama sijakosea.
Tokea hapo baada ya Islamic revolution pale Iran USA ili ban kuwauzia ndege Iran na kuwauza spare za ndege Iran.
Hivyo ile ndege ilianguka kwa matatizo ya kiufundi.
Wala sio assassination attempt ya USA.
Maana watu walimsingizia hadi Israel Netanyahu alikataa.
 
Sawa
Si Gadafi nae alikuwa mwanaume wa Dar
Unadhani USA na NATO wana uwezo wa kufanya tukio katika mataifa mengine kama ilivyo kwa Gaddafi!??
Na washukuru Mungu Gaddafi alichonganishwa na raia wake.
Ila sasa hivi hakuna taifa la kiarabu linakubali kuchonganishwa na viongozi wao.
Maana wameshajifunza toka kwa Libya na Syria na Yemen.
 
We ni mtumwa usie na minyororo kwenye miguu yako , unaonekana ni coward mmoja ambae hapo nyumbani kwako hata jirani yako anaweza kuja kukuzaba makofi mbele ya familia yako na akalala na mke wako hadi asubuhi.
 
Kwani Gadaffi unayemtaja si walimpindua kwa kutumia wasaliti wa Libya kama wewe!!?
Sasa hivi kuna balance kubwa sana of power mkuu.
Mamluki hawafanyi kazi tena.
Kama ingekua rahisi lingefanyika Belarus kwa Aleksandra Lukashenko,ila Putin alitia jeshi pale pakakaa sawa.
 
Achana na huyu mtu. Hili jabali linatisha.

Rais wa Iran juzi walimzimia helicopter iliyombeba tu watu wakarudisha mpira kati!
Usipotoshe watu kaka.
Hiyo helikopta aliyotumia Ebrahim Raisi ilikua ni outdated toka 1970s.
Na haikufanyiwa service toka mwaka huo.
Spare zenyewe USA walikataa kuwauzia Iran wakiwaekea zuio.
Kilichomuua ni uchakavu sio kuzimiwa mitambo.
 
Huwenda hukufuatilia lile tukio.
Ile helikopta aliyeitumia Ebrahim Raisi ilinunuliwa miaka ya 1970s kipindi cha Mohammed Shah kabla hajapinduliwa na kina Khomeini 1979.
Na mara mwisho kufanyiwa service ni 1978 kama sijakosea.
Tokea hapo baada ya Islamic revolution pale Iran USA ili ban kuwauzia ndege Iran na kuwauza spare za ndege Iran.
Hivyo ile ndege ilianguka kwa matatizo ya kiufundi.
Wala sio assassination attempt ya USA.
Maana watu walimsingizia hadi Israel Netanyahu alikataa.
Ulitegemea Israle na Marekani watasema wazi tumehusika sasa hivi na tension yote hii?

CIA wanatoaga ripoti za missions zao baada ya miaka hata 30- 50 utakuja kusikia ukiwa hai bado
 
Wale Jamaa wanambinya kende hata Putin na ana Nuclear ni washenzi hawana maana wale...
Usisikize machawa uwezo wa chawa kujua siasa za Dunia ni mdogo mnooo

Chawa yeye atashangilia tu lakini hana msaada akili za chawa ndogo..
 
Naona leo umejitutumua mama yangu!

Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.

Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!

Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, Marehemu aliyekuwa rais wa Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengine. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli

Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Exactly!!
 
Endelea kuishi kwenye dunia yako. Watu wapo kazini kijana
Usipotoshe watu kaka.
Hiyo helikopta aliyotumia Ebrahim Raisi ilikua ni outdated toka 1970s.
Na haikufanyiwa service toka mwaka huo.
Spare zenyewe USA walikataa kuwauzia Iran wakiwaekea zuio.
Kilichomuua ni uchakavu sio kuzimiwa mitambo.
 
Ulitegemea Israle na Marekani watasema wazi tumehusika sasa hivi na tension yote hii?

CIA wanatoaga ripoti za missions zao baada ya miaka hata 30- 50 utakuja kusikia ukiwa hai bado
Hili tukio walilikana na hakuna namna wamehusika.
Embu msipende kukariri vitu.
Mfumo wa helikopta ya Ebrahim Raisi ulikua wa zamani na ulishabadilishwa.
Narudia tatizo lilomuua ni la kiufundi sio assassination attempt.
We kaa endelea kuwa brain washed.
 
Wewe ulitegemea watasema wazi tumemuua Rais wa nchi fulani.

Inaelekea bado u mtoto sana. Ukikua utaelewa
 
Naona leo umejitutumua mama yangu!

Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.

Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!

Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli

Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Anavyo vyombo vya ulinzi, Mwijaku na Doto magari....beberu gani litamtishaaa?
 
Wewe ulitegemea watasema wazi tumemuua Rais wa nchi fulani.

Inaelekea bado u mtoto sana. Ukikua utaelewa
Wewe ni mtu ambaye hujui siasa za mashariki ya kati.
Kaketi ujifunze,ndio maana unaokoteza okoteza habari za UONGO.
Hakuna impact yeyote ambayo ni positive kwa USA ama Israel kumuua rais wa Iran.
Kwasababu maamuzi mengi makubwa anatoa Ayatollah Khomeini kiongozi wa dini wa Iran.
Kama kuuliwa alitakiwa auliwe yeye ndio ingekua pigo kubwa kwa Iran.
Narudia tena HUJUI SIASA za mashariki ya kati usidanganye watu humu.
 
Back
Top Bottom