Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Sio mimi walosema ni wenyewe Iran.
Tokea utawala wa kiislam uingie waliwekewa vikwazo vya kununua hizo helikopta pamoja na spare zake.
Aya wewe niambie wangewezaje kuifanyia ukarabati kwa vifaa vya wapi!??
Hata wewe akili yako inakutima ivo, kwamba toka mwaka 1970, chombo hakikuwahi kufanyiwa service.? yani good 54 years bila service, like serious??

Inafikirisha sana! sio kila unachoambiwa unakubali, fikiria nje ya box .
 
Achana nae msukule wa China na Urusi huyu
 
yaani haupo kuielekezwa wakati hauna pesa, na wao walikuwa wanakueleza lalamiko la wananchi kwamba watu wanapotea kimasihara?
 
Hata wewe akili yako inakutima ivo, kwamba toka mwaka 1970, chombo hakikuwahi kufanyiwa service.? yani good 54 years bila service, like serious??

Inafikirisha sana! sio kila unachoambiwa unakubali, fikiria nje ya box .
Nachozungumzia mimi sio service za kawaida bali ubadilishaji wa vifaa.
Service ya kubadilishwa spare haijawahi kufanyika kwa hizo helikopta.
Ilibaki kufanyiwa matengenezo ya kawaida tu ambayo sio yenye ufanisi.
Helikopta sio kama baiskeli kaa ujue hilo.
Hivi unajua kama hizo Bell 212 zilishatolewa model mpya??
Na tangia 1979 walipigwa vikwazo na kuzuiwa kununua spare za hizo helikopta.
We utasema hapo kulikua na service ya maana imefanyika!??
Au wewe una akili kuliko IRGC red crescent team ambao walidai walikua wanaitumia kama ambulance mara moja moja!??
Jinga kabbissa
 
Kajichanganya.
 
Kwanza putin mpe mwaka mmoja tu kuanzia sasa atakuwa ndembe ndembe wezake wanamuua kiuchumi
 
Kumbe niko najadili na very low minded person, Itoshe kusema, wewe hujitambui.
 
Hakuna kitu nyie bawacha mtaongea mueleweke ingieni porini ili tuone kama Putin anategemewa
We unabishana na huyo!?
Mtu anayekwambia Russia anategemea kuuza silaha peke yake.
Hajui hata vyanzo vya mapato ya Russia,hajui kama Germany na mataifa mengi ya Ulaya yananunua gesi na petroleum Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…