Rais wangu, Vita ni kubwa, vijicho ni vingi, kaza moyo twende mbele!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli tunasema, wivu wao, na kukosa hoja kwao, Kusisababishe, tukalipelekaa taifa letu kusiko, Vita vinapiganwa kutokea ndani ya chama na nje ya chama,

Kibaya ni haya mashambulizi makali ya nayo tokea ndani ya chama in connection, kwenda kwa wahuni wasio na dogo watoto wa jalalani, inshaallah kwa utovu huu wa nidhamu hawana marefu kwa rehma za mola wetu, vishindo vitasikika tu.

Naomba kwa dhati ya moyo wangu, maneno yao machafu, yaone kama ya kipumbavu, japo hayavumiliki, lakini ukubwa jalala,
Tuyapuuze tusonge mbele, tutafika tu. Tena salama wa salmini, amina!
Pole Rais.
IMG_20240822_213420_091.jpg
 
Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli tunasema, wivu wao, na kukosa hoja kwao, Kusisababishe, tukalipelekaa taifa letu kusiko, Vita vinapiganwa kutokea ndani ya chama na nje ya chama, kibaya ni haya mashambulizi makali ya nayo tokea ndani ya chama in connection, kwenda kwa wahuni wasio na dogo watoto wa jalalani wana haramu, inshaallah kwa utovu huu wa nidhamu hawana marefu kwa rehma za mola wetu, vishindo vitasikika tu,
Naomba kwa dhati ya moyo wangu, maneno yao machafu wanaharamu hao, yaone kama ya kipumbavu, japo hayavumiliki, lakini ukubwa jalala,
Tuyapuuze tusonge mbele, tutafika tu. Tena salama wa salmini, amina!
Pole mh. Rais.
Hakuna kutema Bungo kaza kamba Hadi mbwa wapumbavu wakome
 
CHAWA, RUDI PELEKA RIPOT KWAMBA 2025 TUTAWANYOA
 
Kama JK kidogo nchi ingemshinda, unadhani huyu ataiweza. Trust me, its just getting dawn.
 
Hakuna kutema Bungo kaza kamba Hadi mbwa wapumbavu wakome
Nadhani tunakokwenda Ndivyo betina atakavyo vunja zaidi ustaarabu, why not if, vitendea kazi vyake vikafungwa kwa tabia zake mbaya alizoziiga kwa mabwana zake wa kizungu, wazungu kazi yao ni moja.
 
Back
Top Bottom