Rais wangu, Vita ni kubwa, vijicho ni vingi, kaza moyo twende mbele!

KITENDAWILI....
images.jpeg
 
Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli tunasema, wivu wao, na kukosa hoja kwao, Kusisababishe, tukalipelekaa taifa letu kusiko, Vita vinapiganwa kutokea ndani ya chama na nje ya chama, kibaya ni haya mashambulizi makali ya nayo tokea ndani ya chama in connection, kwenda kwa wahuni wasio na dogo watoto wa jalalani wana haramu, inshaallah kwa utovu huu wa nidhamu hawana marefu kwa rehma za mola wetu, vishindo vitasikika tu,
Naomba kwa dhati ya moyo wangu, maneno yao machafu wanaharamu hao, yaone kama ya kipumbavu, japo hayavumiliki, lakini ukubwa jalala,
Tuyapuuze tusonge mbele, tutafika tu. Tena salama wa salmini, amina!
Pole mh. Rais.
Huyo kibaraka wa waarabu , sisi mbwa lazima tumkoseshe usingizi.
 
[emoji7][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mama MBWA NI WENGI....

Ni bora tu ,tuwapigie MILUZI MINGI ILI WAZIDI KUPOTEA NA KUPOTEANA....

#Nchi kwanza ,anafuatia Samia[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli tunasema, wivu wao, na kukosa hoja kwao, Kusisababishe, tukalipelekaa taifa letu kusiko, Vita vinapiganwa kutokea ndani ya chama na nje ya chama, kibaya ni haya mashambulizi makali ya nayo tokea ndani ya chama in connection, kwenda kwa wahuni wasio na dogo watoto wa jalalani wana haramu, inshaallah kwa utovu huu wa nidhamu hawana marefu kwa rehma za mola wetu, vishindo vitasikika tu,
Naomba kwa dhati ya moyo wangu, maneno yao machafu wanaharamu hao, yaone kama ya kipumbavu, japo hayavumiliki, lakini ukubwa jalala,
Tuyapuuze tusonge mbele, tutafika tu. Tena salama wa salmini, amina!
Pole mh. Rais.
wala haogopi wala hatishiki nami namuunga mkono
 
Hao ni wazalendo, maadui wa taifa ni hawa;
1. Wauza bandari
2. Wauza Ngorongoro
3. Wafukuza wamasai
4. Watekaji wa raia
5. Wenye uongozi legelege kama mlenda
 
Benazir Bhutto faced similar predicament, and her parasites assured her of an overwhelming victory against the Pakistani security establishment, which is a Chauvinistic and Male Dominated.​
Pakistan is not Tanzania....

Their army is above the whole nation....

Rest easy El Commandante J.K.Nyerere ,amen[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kama JK kidogo nchi ingemshinda, unadhani huyu ataiweza. Trust me, its just getting dawn.
Masimulizi gani haya ?!!

Ingemshinda kwa kuwa uchaguzi wake wa mwisho alipata "61% of total votes"?!!!

Bungeni alikuwepo hayati komredi Sitta na "complicit" ;

-Mitume 12...[emoji1787]

-Akina Shelukindo
-Dr.H.Mwakyembe

Huku.....

-Dr.Slaa
-TL
-Z.Z.K

Leo hii....

Bungeni yuko Dr.Tulia......

#Samia Atuvushe Tu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji2956][emoji449][emoji450][emoji441]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Chawa hajui kuandika ,Hajui wapi aweke nafasi wala alama ya koma.
Chawa wote ni watu wenye akili kibaba. Hivyo usishangae. Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye weledi, anakubali kuwa chawa.
 
Back
Top Bottom