Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #61
Day dreams...!lkn ana abdicate soon, raisi mpya ataapishwa kabla ya uchaguzi mkuu 2025 imepangwa hivyo, pole sana, imeisha hiyo …
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Day dreams...!lkn ana abdicate soon, raisi mpya ataapishwa kabla ya uchaguzi mkuu 2025 imepangwa hivyo, pole sana, imeisha hiyo …
Hakosi usingizi wa Maa abadan!Huyo kibaraka wa waarabu , sisi mbwa lazima tumkoseshe usingizi.
Amenlkn ana abdicate soon, raisi mpya ataapishwa kabla ya uchaguzi mkuu 2025 imepangwa hivyo, pole sana, imeisha hiyo …
Yani hizo Kodi zetu kula ya mwisho mwisho iifika 2025 mfumo utakutema
Daydream!Yani hizo Kodi zetu kula ya mwisho mwisho iifika 2025 mfumo utakutema
Kuchomekea neno 'mpumbavu' katika ule wimbo wa Mwana FA japo katika mazingira ya dhihaka za jukwaani haukuwa ustaarabu wenye sifa ya kuwa tukio la hadharani kwa mtu wa ngazi ya urais.Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli tunasema, wivu wao, na kukosa hoja kwao, Kusisababishe, tukalipelekaa taifa letu kusiko, Vita vinapiganwa kutokea ndani ya chama na nje ya chama,
Kibaya ni haya mashambulizi makali ya nayo tokea ndani ya chama in connection, kwenda kwa wahuni wasio na dogo watoto wa jalalani, inshaallah kwa utovu huu wa nidhamu hawana marefu kwa rehma za mola wetu, vishindo vitasikika tu.
Naomba kwa dhati ya moyo wangu, maneno yao machafu, yaone kama ya kipumbavu, japo hayavumiliki, lakini ukubwa jalala,
Tuyapuuze tusonge mbele, tutafika tu. Tena salama wa salmini, amina!
Pole Rais.View attachment 3076786
Kila rais anapokuwa ikulu watu wanadai nchi imemshinda ila akiondoka tunaanza kinafiki kuimba mapambio ya awamu yake, ni sifa ya watu wanafiki wasiojua haswa wanataka kitu gani.Kama JK kidogo nchi ingemshinda, unadhani huyu ataiweza. Trust me, its just getting dawn.
Ukitaka kujua hakubalik subiri 2025 mtafurahi sisi ndo tupo kitaa tunajua, hata njia zenu za panya zitashindwaDaydream!
She still doing well, and well, kila pahala amepagusa kimaendeleo, kila project zinakwenda kwa kasi, Watanznaia hawasomeki wako kama nyeti za fisi hajulikani huyu Jike au dume
Day dreams...!
Uko Kitaa humu Dar hauko kitaa huko yanapotokea mapinduzi ya kilimo mikoani, haupo huko Kigoma yanapotokea mabadiliko makubwa ya kiuchumi na huko wapo wapiga kura wa kweli wanaoamka saa kumi na mbili asubuhi kwenda kupiga kura sio nyinyi mnaoamka saa nane na kuanza kusoma kinachotokea huko mitaani kama vile nchi haiwahusu.Ukitaka kujua hakubalik subiri 2025 mtafurahi sisi ndo tupo kitaa tunajua, hata njia zenu za panya zitashindwa
Sipo dar kaka nipo na akina mama wauza genge ndichi huku, hapa wanasema wanaona 2025 ni mbali 😂😂😂Uko Kitaa humu Dar hauko kitaa huko yanapotokea mapinduzi ya kilimo mikoani, haupo huko Kigoma yanapotokea mabadiliko makubwa ya kiuchumi na huko wapo wapiga kura wa kweli wanaoamka saa kumi na mbili asubuhi kwenda kupiga kura sio nyinyi mnaoamka saa nane na kuanza kusoma kinachotokea huko mitaani kama vile nchi haiwahusu.
Kina nyinyi ni wajuaji tu wa instagram, facebook na humu JF.
Huyu huyu mpaka 2030 anafanya kazi ya maana sana na sio lazima aongelewe vizuri kila mahali haswa na wajuaji wachache waliopo Dar.Huyo kibaraka wa waarabu , sisi mbwa lazima tumkoseshe usingizi.
Imekula kwao waambie.Sipo dar kaka nipo na akina mama wauza genge ndichi huku, hapa wanasema wanaona 2025 ni mbali 😂😂😂
Haya tutaona tusubiri 😂😂😂Imekula kwao waambie.
Ni kwa sababu wote wamefeli kufikia matarajio. Hakuna unafiki.Kila rais anapokuwa ikulu watu wanadai nchi imemshinda ila akiondoka tunaanza kinafiki kuimba mapambio ya awamu yake, ni sifa ya watu wanafiki wasiojua haswa wanataka kitu gani.
Huyo atakuwa ni mkatoliki mwenzangu mwenye nafasi ya uongozi katika parokia moja. Ndio wamejaa chuki kwa dini yake Samia sio kwa uwezo wake wa ufanisi wa kazi.1)Bandari ile ambayo jirani zetu ,Mh.Kagame alipata kutania kuwa "akipewa " ataiongezea mapato maradufu ?!!
Ulitaka tumpe jirani huyo ambaye asingeweza kutupatia TRILIONI 26 kwa mwaka ?!!! [emoji1787][emoji1787]
2) Ngororongo turathi ya dunia....alianza kuishi nabii Adam(AS)....baadaye WADATOOGA na WAMBULU(IRAQW)...ni karne ya 17 ndipo walipoanza kukaa ndugu zetu wamaasai.....leo hii tunakwenda kuishi KABILA MOJA LA WATANZANIA TU ila tutakuwa "spirits" hatutoharibu mazingira kwa kufuga wa "nyumbani" kiholela ili FARU WEUSI NA PUNDAMILIA wazaliane kama kipindi kile cha nabii Adam (AS).
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Matarajio yapi wakati hazina ya nchi pato limeongezeka. Gawio la taasisi na mashirika kwenda serikali kuu limeongezeka.Ni kwa sababu wote wamefeli kufikia matarajio. Hakuna unafiki.
Hatemi mtu Bungo the way you thought! - >2030.maandalizi yameshaanza, ni swala la muda tu …