Rais wangu, Vita ni kubwa, vijicho ni vingi, kaza moyo twende mbele!

Matarajio yapi wakati hazina ya nchi pato limeongezeka. Gawio la taasisi na mashirika kwenda serikali kuu limeongezeka.

Ufanisi wa utendaji wa wizara na taasisi zake unazidi kukua, treni imeshafika Dodoma na inazidi kusogea kwenda Kigoma na Mwanza, daraja la Busisi linaendelea kumaliziwa ujenzi wake.

Umeme na maji vinasambazwa kila kona ya Tanzania, matarajio ni yapi kwa mwananchi wa kawaida?. Siasa za kwenye simu zetu janja zisikudanganyane ukahisi kuwa SSH hapendwi, kawa mwerevu wa kushughulika na matatizo mengi ya jamii za huko mikoani hashughuliki na kero ndogo ndogo za wajuaji wasiokuwa na shukrani wa humu mijini.
Naona uvivu kujibu haya mashudu
 
Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli tunasema, wivu wao, na kukosa hoja kwao, Kusisababishe, tukalipelekaa taifa letu kusiko, Vita vinapiganwa kutokea ndani ya chama na nje ya chama,

Kibaya ni haya mashambulizi makali ya nayo tokea ndani ya chama in connection, kwenda kwa wahuni wasio na dogo watoto wa jalalani, inshaallah kwa utovu huu wa nidhamu hawana marefu kwa rehma za mola wetu, vishindo vitasikika tu.

Naomba kwa dhati ya moyo wangu, maneno yao machafu, yaone kama ya kipumbavu, japo hayavumiliki, lakini ukubwa jalala,
Tuyapuuze tusonge mbele, tutafika tu. Tena salama wa salmini, amina!
Pole Rais.View attachment 3076786
Tuache kumdanganya Mama yetu, ukweli kwa umuri wake na jinsi yake hadi 2025 hataweza hekaheka za siasa za wakati huo. Ushauri mzuri kwake ni kufanya maandalizi ya kukabithi kijiti na kupumzika na atakumbukwa daima kwa busara hiyo. Hata Mwl Nyerere alifanya hivyo pamoja na watu kuonyesha kumpenda na kumtaka aendelee.
 
Watanzania bado tuna mpenda rais wetu, Mambo na maendeleo tunayaona waziwazi!
 
Wapo wachache wanaoshinda humu jukwaani na kudhani hapa walipo ndio sawa na ukubwa wa Tanzania.

Hii nchi ina hekari za mraba laki tisa, ni kubwa na Samia anagusa kila eneo lake kwa umahiri.

Sasa hivi hakuna kinachokatiza huko angani bila rada zetu nne kuweza kukitambua na mtu wa kawaida hawezi kuona hayo maendeleo ya kutoka kuwa na rada inayoishia kutazama pale Ngerengere Morogoro mpaka kuwa nazo nne zenye kuangaza nchi nzima.

Umeme unawaka nchi nzima. Kuna mechi za ligi kuu zinazochezwa usiku kule Ruangwa Lindi, miaka 20 iliyopita ilikuwa ni kama muujiza kwa umeme kuwaka tena kiwanjani katika mkoa mmoja wa kusini.

Anayeshinda humu JF na kuanzisha uzi wa matusi na kejeli kila kukicha hana picha halisi ya kinachoendelea kufanyika katika kila kona ya Tanzania.
 
Akifanikiwa kumaliza shida ilioko ndani ya chama kila kitu kwake itakuwa ni kuserereka...
 
Tuache kumdanganya Mama yetu, ukweli kwa umuri wake na jinsi yake hadi 2025 hataweza hekaheka za siasa za wakati huo. Ushauri mzuri kwake ni kufanya maandalizi ya kukabithi kijiti na kupumzika na atakumbukwa daima kwa busara hiyo. Hata Mwl Nyerere alifanya hivyo pamoja na watu kuonyesha kumpenda na kumtaka aendelee.
Kushindwa kwake unakuumba wewe kichwani mwako. Mwalimu Nyerere aliiongoza Tanzania yenye watu milioni 25 tu leo Samia anaiongoza yenye watu milioni 64 na ni ulimwengu wa sayansi ya hali ya juu na teknolojia zilizopiga hatua.

Samia ni mjanja anajizungushia wasaidizi ambao ni vichwa kweli kweli wenye kuijua kazi yao na hivyo wanampunguzia kazi akiwa pale ikulu.

Umri sio hoja kama bado anayo afya na hanywi pombe wala kuvuta sigara na anayo hulka binafsi ya kufanya mazoezi. Kitu kilichomuweka hai RIP Mwinyi mpaka akaweza kufika miaka 98.
 
Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli tunasema, wivu wao, na kukosa hoja kwao, Kusisababishe, tukalipelekaa taifa letu kusiko, Vita vinapiganwa kutokea ndani ya chama na nje ya chama,

Kibaya ni haya mashambulizi makali ya nayo tokea ndani ya chama in connection, kwenda kwa wahuni wasio na dogo watoto wa jalalani, inshaallah kwa utovu huu wa nidhamu hawana marefu kwa rehma za mola wetu, vishindo vitasikika tu.

Naomba kwa dhati ya moyo wangu, maneno yao machafu, yaone kama ya kipumbavu, japo hayavumiliki, lakini ukubwa jalala,
Tuyapuuze tusonge mbele, tutafika tu. Tena salama wa salmini, amina!
Pole Rais.View attachment 3076786
Kiongozi anayejiita Chura Kiziwi yeye mwenyewe ndiye adui wake wa kwanza.

Kabla ya kulaumu maadui wa Samia, muangalieni Samia mwenyewe anavyojihujumu kwa ujinga wake.
 
Ukweli rais wa kurithi(yaani aliyepata urais wa mbeleko) Huwa ni hatari sana Kwa ustawi wa taifa.Huyu kaharibu Kila kitu
 
Labda niwe mkweli na muwazi, hasa kwenye kutengeneza zanzibar airways hapo pana makosa makubwa sana, aidha sijui watundu wa mitandao wameprint ile nembo kwenye ndege au la!, Endapo kama Ikatokea zanzibar airways tayari tunakuwa tumetengemeza mpasuko, maana yake itatokea Tanganyika airways, badala ya mama yetu Tanzania airways!, Ushauri wangu hata kama zanzibar imenunua ndege basi isome "" Air tanznania - zanzibar! ""
 
Kiongozi anayejiita Chura Kiziwi yeye mwenyewe ndiye adui wake wa kwanza.

Kabla ya kulaumu maadui wa Samia, muangalieni Samia mwenyewe anavyojihujumu kwa ujinga wake.
Remember she is a worker bee!, maneno mengi huweza kumtoa katika Uwajibikaji na hatimaye ufanisi ukapungua, katika kulijenga taifa, nyie wa maneno mengi ongozaneni na kina mbowe na Lissu, kwani hizo ndizo nyumba za maneno!
 
Uwajibikaji upi?

Rais anawajibika kusikiliza wananchi.

Anaweza kukataa hoja baada ya kuisikiliza, lakini hatakiwi kukataa kusikiliza wananchi.

Sasa ukisema kusikiliza wananchi kutamtoa katika uwajibikaji unaji contradict.

Ni kama vile unasema kuwajibika kutamtoa katika uwajibikaji.
 
Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli tunasema, wivu wao, na kukosa hoja kwao, Kusisababishe, tukalipelekaa taifa letu kusiko, Vita vinapiganwa kutokea ndani ya chama na nje ya chama,

Kibaya ni haya mashambulizi makali ya nayo tokea ndani ya chama in connection, kwenda kwa wahuni wasio na dogo watoto wa jalalani, inshaallah kwa utovu huu wa nidhamu hawana marefu kwa rehma za mola wetu, vishindo vitasikika tu.

Naomba kwa dhati ya moyo wangu, maneno yao machafu, yaone kama ya kipumbavu, japo hayavumiliki, lakini ukubwa jalala,
Tuyapuuze tusonge mbele, tutafika tu. Tena salama wa salmini, amina!
Pole Rais.View attachment 3076786
Ndugu yetu Mbowe akikuonea kijicho ujua una kazi, maana ana uwezo wa kuona nyuzi 360
 
Uwa najiuliza sana mbona wakati wa magufuli hakuna tutusa lilokuwa likisema chochote!, au kuandamana kipumbavu, ipo misingi, Rais inamlazimisha airudie njia ile ile ya Hayati, maana naona amekuwa labda VERY SOFT.
 
Matarajio yapi wakati hazina ya nchi pato limeongezeka. Gawio la taasisi na mashirika kwenda serikali kuu limeongezeka.

Ufanisi wa utendaji wa wizara na taasisi zake unazidi kukua, treni imeshafika Dodoma na inazidi kusogea kwenda Kigoma na Mwanza, daraja la Busisi linaendelea kumaliziwa ujenzi wake.

Umeme na maji vinasambazwa kila kona ya Tanzania, matarajio ni yapi kwa mwananchi wa kawaida?. Siasa za kwenye simu zetu janja zisikudanganyane ukahisi kuwa SSH hapendwi, kawa mwerevu wa kushughulika na matatizo mengi ya jamii za huko mikoani hashughuliki na kero ndogo ndogo za wajuaji wasiokuwa na shukrani wa humu mijini.
[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom