Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
1)Bandari ile ambayo jirani zetu ,Mh.Kagame alipata kutania kuwa "akipewa " ataiongezea mapato maradufu ?!!Hao ni wazalendo, maadui wa taifa ni hawa;
1. Wauza bandari
2. Wauza Ngorongoro
3. Wafukuza wamasai
4. Watekaji wa raia
5. Wenye uongozi legelege kama mlenda
Ulitaka tumpe jirani huyo ambaye asingeweza kutupatia TRILIONI 26 kwa mwaka ?!!! [emoji1787][emoji1787]
2) Ngororongo turathi ya dunia....alianza kuishi nabii Adam(AS)....baadaye WADATOOGA na WAMBULU(IRAQW)...ni karne ya 17 ndipo walipoanza kukaa ndugu zetu wamaasai.....leo hii tunakwenda kuishi KABILA MOJA LA WATANZANIA TU ila tutakuwa "spirits" hatutoharibu mazingira kwa kufuga wa "nyumbani" kiholela ili FARU WEUSI NA PUNDAMILIA wazaliane kama kipindi kile cha nabii Adam (AS).
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app