Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote yule!, by saa sita, mchana biashara zifunguliwe kazi iendelee!.....