Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
mpaka naondoka asubuhi ya leo nimeacha biashara zinafunguliwa. karibu asilimia 55 tayari walishafungua maduka yao.Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote yule!, by saa sita, mchana biashara zifunguliwe kazi iendelee!.....
Yaelekea unafurahishwa na kinachoendelea tatizo ni, wamesha wahi ahidiwa bila matekelezo na viongozi waliopo!, what are they looking for, Madam president!, tena kauli ndogo tu, inatosha kabisa, "" Naomba endeleeni na biashara hili nalichukuwa "" inatosha sana.Rais ana majukumu mengi hao wafanyabiashara waongee na Kafulila aka Tumbiri
Some of them wanaweza, but most of them they are not competitive enoughNdo kusema viongozi wote wa serikali wameshindwa hadi Rais awaite?
Viongozi wanapaswa kuvaa viatu vya walalamikaji na kutatua kero zao kwa hekima na busara.
Tukijenga mazoea ya kumsikiliza Rais pekeyake itakuwa hatari kwa Taifa.
Nia yangu ni njema mkuu, pia nadhani ni kweli kabisa katika hili chandomo wapo kwa chini chini.MAMA anachapa kazi nyingine hili la kariako kama chadema mnategemea kumyumbisha mmenoa wallah huyu mama ni makini ajabu
Well said, nadhani mifumo ndo shida baadhi ya viongozi wanaamua kwa woga.Some of them wanaweza, but most of them they are not competitive enough
mkuu wa mkoa anawamudu haina shida kua na amaniNia yangu ni njema mkuu, pia nadhani ni kweli kabisa katika hili chandomo wapo kwa chini chini.
Well said, nadhani mifumo ndo shida baadhi ya viongozi wanaamua kwa woga.Some of them wanaweza, but most of them they are not competitive enough
Changamoto ni sehemu ya biashara mfanyabiashara akifanikwa kuzitatua changamoto zake hufanikiwa, asilimia 80 ya mafanikio katika biashara yana mtegemea mjasiriamali, lakini asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayomzinguka ni pamoja na yasiyoyatarajiwa hii asilimia 20 Ina nguvu hata kuua biashara endapa jamii zetu zitaendelea kufumba macho ama kuziba masikio Kwa kuto kubuni mbinu za kukabiliana na changotmotoOmbi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote yule!, by saa sita, mchana biashara zifunguliwe kazi iendelee!.....
Naunga mkono hojaOmbi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote yule!, by saa sita, mchana biashara zifunguliwe kazi iendelee!.....
Unataka Mh. Rais aingilie kwa lipi? Yaani kila mtu "AKIDEMKA" Mh. Rais aingilie kati?Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote yule!, by saa sita, mchana biashara zifunguliwe kazi iendelee!....