Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimfariji wala!!!!!!
Kaandika la kwanza akaja kuongeza nyama baadaye ila hakuna juha wa kutoelewa mantiki yake isipokuwa mnaosoma bila.kulinganisha dhamira yake ndio mumuaminio muandishi asiye huru ni hatari kuaminika!!!!!
Pasco
Wasi wasi wangu kuhusu mapendekezo yako na yangu ya ziaida ni haya
Historia haionyeshi dola kushinda nguvu ya umma hata siku moja
Shah wa Iran alijaribu hakufanikiwa
Mfalme Ceusecue wa Romania alijaribu hakufanyikiwa
Fernando Marcos alijaribu hakufanikiwa
Idd Amin alijaribu hakufanikiwa
Pinochet, alijaribu hakufanikiwa
Orodha ni ndefu sana
Unataka JK awafanye nini UKAWA? Hivi na wewe umo miongoni mwa wahafidhina wanaoamini kuwa CCM imeumbwa kutawala milele na hakuna chama kingine chochote kinachoweza kutawala zaidi ya CCM?
Nadhani kama unawaza haya, na kama vijana wengi wa umri wako wanawaza kama wewe, basi tuna safari ndefu sana katika kuikomboa Tanganyika na Tanzania yetu!
Wakati Zoezi la kupiga kura likiendelea, najikumbusha kidogo baadhi ya hoja za msingi kuhusu katiba!.Wanabodi,
Wengine wetu huu mchakato wa Katiba, tangu ulipoanzishwa, tulisema humu, hauwezi kutupatia "Katiba Bora!" bali utatupatia "Bora Katiba!". Tuliowaaminia kule Bungeni tangu utungwaji wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, tuliwatahadharisha!, kuhusu "To fear the Greeks, especially when they brings gifts!". Japo mwanzo, walisua sua, wakasusa, baada ya kualikwa kufanya "rehearsals za kuikalia nyumba nyeupe", na zile chai na vitafunwa!, ni smiling faces na meno 32 nje!, wakasau yote!, wakarejea, wakabariki, wakakubali, hivyo hiki kinachoendelea sasa sio chanzo, ni matokeo tuu!, maadam haya ni maji na wameisha yavulia nguo hawana budi kuyaoga!, na kama wanatishia kutoendelea kuoga, tutawasokomezea huko bafuni na kuwamwagia maji waoge watake wasitake!.
Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge Mbele Tupate Hiyo "Bora Katba!".
Sheria yenyewe ya Bunge Maalum, tumeitunga kwa haste haste, hivyo kuilipua lipua!, ikiwa na mapungufu kibao, na moja ya pungufu makubwa ni kwa sheria kumpa rais "appointments powers only" kwa mjumbe wa bunge hilo, baada tuu ya kuteuliwa, hakuna mamlaka yoyote ya kusitisha uteuzi wake!, hivyo kumpa mjumbe uhuru kamili wa kujiamulia lolote ikiwemo kutokuhudhuria vikao bila sababu yoyote ya msingi, kwa sababu hakuna kipengele chochote cha uwajibikaji kama kitu kinachofanywa na UKAWA kwa sasa, wamesusia kuendelea na mchakato na kutishia hata vikao vitakapoanza tena, wanadai hawatarejea!.
Kama hili ni kweli, na kama katika mahesabu ya akidi kupitishwa kwa hiyo "Bora Katiba" hakutawezekana kutimia mpaka UKAWA warudi Bungeni, japo naelewa wazi kipindi hiki cha mapumziko, "wale vijana wa kazi!", watasambazwa kote ndani UKAWA "man2mam!", kuhakikisha kila penye uzia!, watapenyeza rupia!, hadi akidi itimie!, lakini you can never tell with politics, jee wasipofanikiwa, itakuwaje?!. Imagine wajumbe wote wa UKAWA, wakiendelea kusimama imara na kushikilia msimamo wao wa kugomea BML, hali itakayopelekea kutukoseshea hiyo "Bora Katiba", mnaonaje tukimshauri Rais wetu JK, tuliomchagua wenyewe kwa ridhaa yetu, kuhakikisha mambo yafuatayo yanafanyika mapema na kwa haraka katika kikao kijacho cha Bunge la JMT.
Lengo la Mabadiliko haya ya sheria ya Bunge Maalum ni kuwaadabisha hawa waasi wa sio tuu wa UKAWA, bali kuzuia kabisa jaribio jingine lolote la uasi!, hivyo kuwafanya wajumbe wote wa BMK kuwa na nidhamu ya hali ya juu na utii wa kondoo!, ili mchakato uliobakia, uendeshwe fasta, tujipatie "Bora Katiba" tunayiosubiria kwa hamu, tuipigie kura ya ndio katika umoja wetu kama Watanzania!.
- Sheria ya Bunge la Katiba ifanyiwe marekebisho, serikali ipeleke muswada wa marekebisho, kumpa rais Kikwete mamlaka ya kutengua uteuzi wa wajumbe wa BMK kama wajumbe hao watakosa sifa za kuendelea kuwa wajumbe wa BMK, na miongoni mwa sifa hizo, ni kutohudhuria idadi ya vikao fulani bila sababu za msingi, ikiwemo ulazima wa kuhudhuria vikao vya kufanya maamuzi!.
- Marekebisho mengine ni kuongezwa kipengele cha uwajibikaji kwa kuwalazimisha wajumbe wa BMK walioteuliwa, kuwajibika kwa kuhudhuria vikao vya BMK kwa lazima, kwa mujibu wa sheria na sio kwa hiyari kama ilivyo sasa!.
- Baada ya rais kupewa mamlaka ya kutengua uteuzi wa wajumbe watakaopoteza sifa, pia apewe mamlaka ya kuteua wajumbe wengine kutoka majina yale yale yaliyopendekezwa mwanzo, ila hakupata nafasi za uteuzi, hivyo mjumbe yoyote wa BMK akipoteza sifa za kuwa mjumbe wa Bunge hilo kwa sababu zozote zile, Rais ateue Replacement.
- Kwenye Bunge la JMT na kule BLW, yaletwe marekebisho ya "Simbiosis Relationship" kati ya Wajumbe wa Bunge la Katiba ambao ni Wabunge wa Bunge la JMT na BLW, wakipoteza sifa za kuwa Wajumbe wa BMK, automatically wapoteze na sifa za ubunge wa JMT na ule wa BLW automatically na pia wazuiwe kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa umma kwa kipindi cha miaka 10!, ili kuwashikisha adabu na kuwatia nidhamu wajumbe wanaoleta uasi na kutaka kutukoseshea hiyo "Bora Katiba" tuijarajiao!.
- Bunge la JMT na BLW, wafanye marekebisho ya sheria za uchaguzi za NEC na ZEC, kuwa Mbunge yoyote au Mjumbe wa BLW atakaepoteza sifa za Ubunge au Ujumbe wa BLW, the 1st Runner Up kwenye uchaguzi wa mwisho, ateuliwe kuwa Mbunge au mjumbe wa BLW na hapo hapo ateuliwe mjumbe wa BMK, sio tuu ili akidi itimie tujipatie hiyo "Bora Katiba" wananchi wanaoisubiria kwa hamu ipatikane, bali pia kuokoa mabilioni ya fedha zinazotumika kuendesha chaguzi ndogo
Ushauri wangu huu, unafutia kitendo cha UKAWA, ambao sio tuu wanatishia hatari ya kutopatikana kwa "Bora Katiba", sasa hawa UKAWA inazidi kuwa ni tishio kwa "usalama wa taifa!", baada ya hawa UKAWA kufanya kitendo cha "hatari sana", kwa kuunganisha nguvu kwa wapinzani wote kuwa "kitu kimoja!", katika umoja ambao ni nguvu ya hatari sana kwa mustakabili wa taifa letu, mwaka 2015!, endapo zile juhudi za "vijana kuwafarakanisha wapinzani kuhakikisha wapinzania wanaendelea kuwa fragmented" zinaendelea kushtukiwa, hivyo kuna hatari kwa wapinzani, kuungana na wakisimamisha mgombea mmoja, wa urais, ubunge na madiwani, mwaka 2015, then kuna hatari kubwa ya CCM kuanguka!, (Zanzibar ni given!, hata kwa dawa CCM haiwezi tena kushinda!), hivyo kuhatarisha hali ya usalama na amani ya taifa hili kwa sababu CCM pekee, ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye uzoefu wa long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa kutawala nchi, kuendesha nchi, na kuunda serikali!, hivyo Tanzania bila CCM haiwezekani!.
Na kwa vile CCM haijawahi hata mara moja, sio tuu kufikiria , bali hata kuwaza uwezekano wa kuwezekanika kushindwa, hivyo hakuna maandalizi yoyote kwa mihimili mikuu ya dola, kupewa hata japo ka orientation ya probability ya yumkini ya kuyumkinika ya kukitumikia chama kingine chochote, zaidi ya chama dola CCM walichokizoea, ambao waserikali wote ni wanachama wake!, likiwemo jeshi letu la Wananchi wa CCM, Watanzania, ambalo tumelishuhudia juzi kwenye maonyesho jinsi lilivyo shupavu na imara, sijawahi kusikia warsha, semina au kongamano lolote la aina yoyote ya "Change of Arms" kwa Jeshi kuwa tayari kumtumikia Amiri Jeshi Mkuu mwingine yoyote nje ya CCM!, hivyo ikitokea CCM imeanguka!, Nchi itayumba!, Tanzania haitatawalika!, tutaingia katika machafuko makubwa ya ajabu!, hata huu umoja na ushirikiano wa UKAWA, ni ushirikiano wa "convenience tuu!", hiyo convenience ikiiisha, patazuka patashika kubwa ya ya ajabu ya nguo na mashati kuchanika!, nchi inawezekana isitawalike kabisa!, hivyo itakuwaje?!.
Sisi wengine kazi yetu ni kusema tuu, hapa tunamshauri, rais wetu, mwenzetu, na rafiki yetu JK, endelea kuwachekea tuu hawa UKAWA kwa kujiaminisha kuwa wako likizo!, huku ukiendelea kuwaacha wakizidi kukudekea huku wakipita huku na kule kuwaamsha waliolala!, haswa kwa kuzingatia kwa sasa UKAWA ndio wana "call the shots" na CCM inafutia nyuma kuziba mashimo, kama walivyofanya majuzi kwa kutangulia, Kiwani Pemba, ndipo leo CCM ikafuatia!, nakukumbushia tuu ule msemo wa Kiswahili usemao.
"Mchelea Mwana Kulia!"..... na "Ukiwachekea Nyani.....!", Jee Mpendwa wetu uko tayari "kulia wewe", na kipindi cha mavuno ya 2015, uvune mabua?!.
NB. Kwa wale ambao ni wavivu wa kusoma bandiko refu, nilichouliza hapa in short ni Jee hawa UKAWA, wanaotaka kutuharibia nchi yetu, kwa kutaka kutukwamishia hili zoezi la kujipatia "Bora Katiba" ya muungano wa serikali mbili, unaopendwa na Watanzania wote kabisa!, watimuliwe kwa "insubordination?!, au tuendelee kuwachekea tuu kama mtu awachekeaye nyani, tukijiandaa kuvuna mabua?!.
Swali la kujiuliza, ni Jee Wanachokifanya UKAWA ni kwa Maslahi ya Taifa?!.
Jumapili Njema!.
Wasalaam.
Pasco.
Note:
Kwa wasionifahamu: Pasco wa jf, hana chama, hana kambi, na hana mtu wa 2015, bali ana watu anao waaminia!.
Kwa upande wa CV yangu, Pasco wa jf ni Mhitimu wa Darasa la Saba la UPE, alipasi shule ya msingi ila hakuchaguliwa, nafasi zilijaa, hivyo ameishia darasa hilo la Saba yaani ni Standard Seven Leaver!.
Msimamo wangu kwenye hoja ya serikali ngapi ni huu Kama Kweli Nia ya Dhati ni Kuimarisha Muungano, Then...
Uzuri wa Msimamo wa CCM kutetea Serikali Mbili, nimeueleza Hapa Topic: Chonde Chonde Rais JK: Msimamo wa CCM wa Serikali Mbili, Ndio Utakauvunja Muungano!.
Uhalali wa Bunge la Katiba nimeuleza hapa!
Katiba: Nashauri Bunge Lililopo Livunjwe!, Liundwe Bunge...
Na kwa Wale Vimbelembele Kwenye BMK Wanaojidai eti wametumwa na Wananchi, pia nao niliwapatia ujumbe wao hapa
Wito kwa Bunge la Katiba: Kura iwe ya Siri kwasababu Hakuna Yeyote Aliyetumwa na Wananchi!.
Kuna wengi wanadhani hii move ya Lowassa kujiunga Chadema ni surprise move, CCM hawakujua hivyo wamekuwa taken by surprise!, hivyo CCM is in shock!, nimeliweka bandiko hili kuwakumbusha kuwa akina sisi humu JF, tuliisha mtahadharisha JK siku nyingi, ila aliendelea kuwachekea nyani!, sasa October 25, atayavuna mabua!.Wanabodi,
Ushauri wangu huu, unafutia kitendo cha UKAWA, ambao sio tuu wanatishia hatari ya kutopatikana kwa "Bora Katiba", sasa hawa UKAWA inazidi kuwa ni tishio kwa "usalama wa taifa!", baada ya hawa UKAWA kufanya kitendo cha "hatari sana", kwa kuunganisha nguvu kwa wapinzani wote kuwa "kitu kimoja!", katika umoja ambao ni nguvu ya hatari sana kwa mustakabili wa taifa letu, mwaka 2015!, endapo zile juhudi za "vijana kuwafarakanisha wapinzani kuhakikisha wapinzania wanaendelea kuwa fragmented" zinaendelea kushtukiwa, hivyo kuna hatari kwa wapinzani, kuungana na wakisimamisha mgombea mmoja, wa urais, ubunge na madiwani, mwaka 2015, then kuna hatari kubwa ya CCM kuanguka!, (Zanzibar ni given!, hata kwa dawa CCM haiwezi tena kushinda!), hivyo kuhatarisha hali ya usalama na amani ya taifa hili kwa sababu CCM pekee, ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye uzoefu wa long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa kutawala nchi, kuendesha nchi, na kuunda serikali!, hivyo Tanzania bila CCM haiwezekani!.
Na kwa vile CCM haijawahi hata mara moja, sio tuu kufikiria , bali hata kuwaza uwezekano wa kuwezekanika kushindwa, hivyo hakuna maandalizi yoyote kwa mihimili mikuu ya dola, kupewa hata japo ka orientation ya probability ya yumkini ya kuyumkinika ya kukitumikia chama kingine chochote, zaidi ya chama dola CCM walichokizoea, ambao waserikali wote ni wanachama wake!, likiwemo jeshi letu la Wananchi wa CCM, Watanzania, ambalo tumelishuhudia juzi kwenye maonyesho jinsi lilivyo shupavu na imara, sijawahi kusikia warsha, semina au kongamano lolote la aina yoyote ya "Change of Arms" kwa Jeshi kuwa tayari kumtumikia Amiri Jeshi Mkuu mwingine yoyote nje ya CCM!, hivyo ikitokea CCM imeanguka!, Nchi itayumba!, Tanzania haitatawalika!, tutaingia katika machafuko makubwa ya ajabu!, hata huu umoja na ushirikiano wa UKAWA, ni ushirikiano wa "convenience tuu!", hiyo convenience ikiiisha, patazuka patashika kubwa ya ya ajabu ya nguo na mashati kuchanika!, nchi inawezekana isitawalike kabisa!, hivyo itakuwaje?!.
Sisi wengine kazi yetu ni kusema tuu, hapa tunamshauri, rais wetu, mwenzetu, na rafiki yetu JK, endelea kuwachekea tuu hawa UKAWA kwa kujiaminisha kuwa wako likizo!, huku ukiendelea kuwaacha wakizidi kukudekea huku wakipita huku na kule kuwaamsha waliolala!, haswa kwa kuzingatia kwa sasa UKAWA ndio wana "call the shots" na CCM inafutia nyuma kuziba mashimo, kama walivyofanya majuzi kwa kutangulia, Kiwani Pemba, ndipo leo CCM ikafuatia!, nakukumbushia tuu ule msemo wa Kiswahili usemao.
"Mchelea Mwana Kulia!"..... na "Ukiwachekea Nyani.....!", Jee Mpendwa wetu uko tayari "kulia wewe", na kipindi cha mavuno ya 2015, uvune mabua?!.
Wasalaam.
Pasco.
Kuna wengi wanadhani hii move ya Lowassa kujiunga Chadema ni surprise move, CCM hawakujua hivyo wamekuwa taken by surprise!, hivyo CCM is in shock!, nimeliweka bandiko hili kuwakumbusha kuwa akina sisi humu JF, tuliisha mtahadharisha JK siku nyingi, ila aliendelea kuwachekea nyani!, sasa October 25, atayavuna mabua!.
Pasco
Najikumbuha tuu!.Wanabodi,
Ushauri wangu huu, unafutia kitendo cha UKAWA, ambao sio tuu wanatishia hatari ya kutopatikana kwa "Bora Katiba", sasa hawa UKAWA inazidi kuwa ni tishio kwa "usalama wa taifa!", baada ya hawa UKAWA kufanya kitendo cha "hatari sana", kwa kuunganisha nguvu kwa wapinzani wote kuwa "kitu kimoja!", katika umoja ambao ni nguvu ya hatari sana kwa mustakabili wa taifa letu, mwaka 2015!, endapo zile juhudi za "vijana kuwafarakanisha wapinzani kuhakikisha wapinzania wanaendelea kuwa fragmented" zinaendelea kushtukiwa, hivyo kuna hatari kwa wapinzani, kuungana na wakisimamisha mgombea mmoja, wa urais, ubunge na madiwani, mwaka 2015, then kuna hatari kubwa ya CCM kuanguka!, (Zanzibar ni given!, hata kwa dawa CCM haiwezi tena kushinda!), hivyo kuhatarisha hali ya usalama na amani ya taifa hili kwa sababu CCM pekee, ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye uzoefu wa long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa kutawala nchi, kuendesha nchi, na kuunda serikali!, hivyo Tanzania bila CCM haiwezekani!.
Na kwa vile CCM haijawahi hata mara moja, sio tuu kufikiria , bali hata kuwaza uwezekano wa kuwezekanika kushindwa, hivyo hakuna maandalizi yoyote kwa mihimili mikuu ya dola, kupewa hata japo ka orientation ya probability ya yumkini ya kuyumkinika ya kukitumikia chama kingine chochote, zaidi ya chama dola CCM walichokizoea, ambao waserikali wote ni wanachama wake!, likiwemo jeshi letu la Wananchi wa CCM, Watanzania, ambalo tumelishuhudia juzi kwenye maonyesho jinsi lilivyo shupavu na imara, sijawahi kusikia warsha, semina au kongamano lolote la aina yoyote ya "Change of Arms" kwa Jeshi kuwa tayari kumtumikia Amiri Jeshi Mkuu mwingine yoyote nje ya CCM!, hivyo ikitokea CCM imeanguka!, Nchi itayumba!, Tanzania haitatawalika!, tutaingia katika machafuko makubwa ya ajabu!, hata huu umoja na ushirikiano wa UKAWA, ni ushirikiano wa "convenience tuu!", hiyo convenience ikiiisha, patazuka patashika kubwa ya ya ajabu ya nguo na mashati kuchanika!, nchi inawezekana isitawalike kabisa!, hivyo itakuwaje?!.
Sisi wengine kazi yetu ni kusema tuu, hapa tunamshauri, rais wetu, mwenzetu, na rafiki yetu JK, endelea kuwachekea tuu hawa UKAWA kwa kujiaminisha kuwa wako likizo!, huku ukiendelea kuwaacha wakizidi kukudekea huku wakipita huku na kule kuwaamsha waliolala!, haswa kwa kuzingatia kwa sasa UKAWA ndio wana "call the shots" na CCM inafutia nyuma kuziba mashimo,
"Mchelea Mwana Kulia!"..... na "Ukiwachekea Nyani.....!", Jee Mpendwa wetu uko tayari "kulia wewe", na kipindi cha mavuno ya 2015, uvune mabua?!.
Wasalaam.
Pasco.
Wanabodi,
Ushauri wangu huu, unafutia kitendo cha UKAWA, ambao sio tuu wanatishia hatari ya kutopatikana kwa "Bora Katiba", sasa hawa UKAWA inazidi kuwa ni tishio kwa "usalama wa taifa!", baada ya hawa UKAWA kufanya kitendo cha "hatari sana", kwa kuunganisha nguvu kwa wapinzani wote kuwa "kitu kimoja!", katika umoja ambao ni nguvu ya hatari sana kwa mustakabili wa taifa letu, mwaka 2015!, endapo zile juhudi za "vijana kuwafarakanisha wapinzani kuhakikisha wapinzania wanaendelea kuwa fragmented" zinaendelea kushtukiwa, hivyo kuna hatari kwa wapinzani, kuungana na wakisimamisha mgombea mmoja, wa urais, ubunge na madiwani, mwaka 2015, then kuna hatari kubwa ya CCM kuanguka!, (Zanzibar ni given!, hata kwa dawa CCM haiwezi tena kushinda!), hivyo kuhatarisha hali ya usalama na amani ya taifa hili kwa sababu CCM pekee, ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye uzoefu wa long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa kutawala nchi, kuendesha nchi, na kuunda serikali!, hivyo Tanzania bila CCM haiwezekani!.
hivyo ikitokea CCM imeanguka!, Nchi itayumba!, Tanzania haitatawalika!, tutaingia katika machafuko makubwa ya ajabu!,
Sisi wengine kazi yetu ni kusema tuu,
"Mchelea Mwana Kulia!"..... na "Ukiwachekea Nyani.....!", Jee Mpendwa wetu uko tayari "kulia wewe", na kipindi cha mavuno ya 2015, uvune mabua?!.
Tanzania tunafanya uchaguzi ili kuwaridhisha tuu nchi wahisani waendelee kutufadhili!.kumbe bwana pasco usalama wa taifa kwako ni ccm kuendelea kuwa madarakani hata kama ni kwa gharama ya uhai na uhuru wa wengine!,sasa huwa mnafanya uchaguzi wa nini kama hamko tayari kusikiliza uamuzi wa wananchi?.heri umeweka wazi kuwa majeshi ya nchi hii yapo kwa ajili ya usalama wa ccm na si wananchi.
Kama ulidhani mimi ndio nawatisha na jeshi letu, kesho nenda katalii Zenji!.Pasco,maswala ya kututisha na jeshi letu wenyewe hayasaidii kitu,ningekuelewa zaidi km ungemshauri Mhs.Rais kufuata matakwa ya wananchi na sio itikadi za kichama.....jua juu ya yote you cant change the hands of time na msemo wa kwetu "wengi wape,usipowapa......?"
Kweli dunia ina mambo! Pasco wewe ina onesha hujasoma uongozi.na ndio maana unaleta hoja ambazo hazina mashiko.
Mwisho, watu kama PASCO ni lazima wapuuzwe kwani hawalitakii mema Taifa letu.Tulipo kuwa na kiongozi mzembe na mzururaji kuliko watu wote duniani walikaa kimya huku wakifaidika na mfumo mbovu wa uongozi. hata siku moja Pasco hakuwahi kuandika kutofurahishwa na uzembe ule.
Acha hizo pasco!
Naendelea, ikitosha sema!Wanabodi,
Ushauri wangu huu, UKAWA inazidi kuwa ni tishio kwa "usalama wa taifa!", baada ya hawa UKAWA kufanya kitendo cha "hatari sana", kwa kuunganisha nguvu kwa wapinzani wote kuwa "kitu kimoja!", katika umoja ambao ni nguvu ya hatari sana kwa mustakabili wa taifa letu, mwaka 2015!, (Zanzibar ni given!, hata kwa dawa CCM haiwezi tena kushinda!), hivyo kuhatarisha hali ya usalama na amani ya taifa hili kwa sababu CCM pekee, ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye uzoefu wa long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa kutawala nchi, kuendesha nchi, na kuunda serikali!, hivyo Tanzania bila CCM haiwezekani!.Jumapili Njema!.