Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Wakamba wao wanawaza Ngono tu, ndio maana hata Wazaramo waliwadunda na kuwatimua kutoka Mzizima🤣
 
Si Uganda ipo pale kupata madini na kagame pia vile vile kwani umeambiwa Kenya hawaijui thamani ya gold na diamond? Kijana utajua hujui ,kaa kando uone mchezo unavyochezwa.
😄😄😄 Kwa hio Ruto nae amejiunga kwny kuiba madini sio mkuu?
 
Wapiganaji wazuri Kenya ni Waturkana, ila hata wao Vita ya Msitu mzito hawaiwezi, na Jeshini sio wengi.
 
Hao ndio KIINI cha mgogoro na bado wanaeleza DHAMIRA yao ni kukamilisha MAUAJI YA KIMBARI waliyonza 1994 wasipodhibitiwa na wakiendelea kulindwa na DRC basi wacha Kenya nae akauone mziki.

Mimi namuunga mkono Kagame kwenye hili.
Wamesema wapi wanataka kukamilisha mauaji ya kimbari
 
Naona umewapa na lipicha kabisa ili wasiwe na udhuru 🙂
Wajue kabisa wao wakimuona Chatu mkubwa wasikimbie ndio chakula cha Jeshi la Kongo.

Mkongo akimuona Chatu na Vita anaacha anaanza kula😂 wanapigana peke yao😆
 
Si Uganda ipo pale kupata madini na kagame pia vile vile kwani umeambiwa Kenya hawaijui thamani ya gold na diamond? Kijana utajua hujui ,kaa kando uone mchezo unavyochezwa.
😄😄😄 Kwa hio Ruto nae amejiunga kwny kuiba madini sio mkuu?
 
Kila la kheri kwao bhana Mungu awatangulie watimize malengo. Yanakera haya majamaa ya vikundi vya waasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…