Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Wakamba wao wanawaza Ngono tu, ndio maana hata Wazaramo waliwadunda na kuwatimua kutoka Mzizima🤣
 
Wapiganaji wazuri Kenya ni Waturkana, ila hata wao Vita ya Msitu mzito hawaiwezi, na Jeshini sio wengi.
 
Hao ndio KIINI cha mgogoro na bado wanaeleza DHAMIRA yao ni kukamilisha MAUAJI YA KIMBARI waliyonza 1994 wasipodhibitiwa na wakiendelea kulindwa na DRC basi wacha Kenya nae akauone mziki.

Mimi namuunga mkono Kagame kwenye hili.
Wamesema wapi wanataka kukamilisha mauaji ya kimbari
 
Kila la kheri kwao bhana Mungu awatangulie watimize malengo. Yanakera haya majamaa ya vikundi vya waasi
 
Back
Top Bottom