Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Acha kuitisha Kdf wewe mnyarwanda....
 
Hiii mnadanganyana mkiwa mnafanya nini. Al shababy uliona wapi wanapigana vita uso kwa uso kama si kujilipua na kuteka raia? Kenya kiingereza wamekuzidi wewe ambaye hukusoma vizuri. Kijeshi sijui. Lakini al shababy hawajawaweza wakenya
 
Ina maana Hawa jamaa wapo siriaz Sio!!?

KWA mfumuko huu wa bei,NJAA loading,corona brewing from a far wanataka kutuingiza vitani ukanda huu!?

Manamba MOJA wa nchi za ukanda huu wafanye mkutano wamalize hii sintofahamu!
 
Kagame awe makini tu kwenye safari yake ya Burundi aweke maanani yaliyomkuta Rwagasore hawa Wakongo pia hawaaminiki.
Sure mkuu,lkn sababu ye mwenyewe Ni mtu wa intelligence atakua anajua afanyacho.
 
Ndio Maana nikauliza tofauti ya Mandates zao Ni nini kati MONUSCO vs Jeshi la E/Africa maana nilitaka kujua wakenya watafanya Nini cha utofauti kulinganisha na MONUSCO ambao wamefeli kwa zaidi ya miaka 20.
 
Natuma salama kwa mama yako mzazi, mwambie baba yako wa kambo Jay One anamsalimia 😊
Mimi natuma salamu kwa baba yako mzazi mwambie wa kupuliza anasema NYORI yake Ni tamu sana yaani mnooooo,bado Ni sealed kabisa.Aendelee kuitunza hivyo hivyo
 
Kuria nae ni muhuni tu. Sijui alipataje uwaziri.
 
Ndio Maana nikauliza tofauti ya Mandates zao Ni nini kati MONUSCO vs Jeshi la E/Africa maana nilitaka kujua wakenya watafanya Nini cha utofauti kulinganisha na MONUSCO ambao wamefeli kwa zaidi ya miaka 20.
Monusco act accordingly to un regulations na EADF act accordingly to East Africa community regulations. Ina maana hapo hao EADF watashirikiana na Congo Zaire katika mapambano dhidi ya adui katika maeneo tofauti. Mfano kuna m23 kuna wale adf na kuna red taabara. Ina maana Congo ameomba ulinzi wa jeshi lake na litalindwa hivo akishambuliwa lazima kuwe na retaliation ni project ya miezi kama 6 au 7.
 
TZ walikataa hiyo biashara Kenya wameiona ina faida kwao.

Yule Bwana mrefu wa kajinchi kile hakawii kuchukia akigundua kunguni wake wanabanjwa kwa mashirikiano.

Kila la kheir KDF
 
Aliekueleza wameshindwa Somalia ni nani? Unadhani Alshabaab wako kwenye uwanja wa vita kama walivyo M23?
KDF imeshindwa ndani ya Somalia na ndani ya Kenya, ni jeshi la hovyo Sana, Alshabab wapo katika uwanja wa vita na wameshikilia maeneo ya Somalia wameyateka na wanayatawala
 
Somalia ngoma nzito mkuu.
Unapigana na hewa haha.
Gaidi anavaa kiraia tena kanzu na ndevu juu na hana address
Sio kweli unalosema, Alshabab ni jeshi Kama jeshi la kawaida, linashikilia na kutawala baadhi ya maeneo ya Somalia Kama ilivyo kwa M23, KDF ni dhahifu kushindwa kiwafuata Alshabaab ktk maeneo Yao na kuyakomboa Kama walivyofanya RPF huko Msumbiji
 
KDF imeshindwa ndani ya Somalia na ndani ya Kenya, ni jeshi la hovyo Sana, Alshabab wapo katika uwanja wa vita na wameshikilia maeneo ya Somalia wameyateka na wanayatawala
kwani ni KDF tu ipo Somalia??mpaka US,UG,Ethiopia wako huko!!
Huwezi kumaliza uaalshaabab haraka inachukuaga mamiaka,sababu huwezi maliza wasomali wote💀na hujui mlipuzi Nani??pia atatokea wapi??Sasa kitu muhimu ni ku control na kuminimize attacks kwa kuwavamia Mara moja alshaabab watakapojitokeza👌polepole wasomali wote wakipata amani na kuenda shule,wataona uzuri wa amani na uhai👌
Kumbuka wana fight for who??religion!!na religion is a critical issue it's must be handled patiently👌usisababishe mambo makubwa ukakasirisha wengine👌
Ebu cheki huu mbinu umesaidia kuleta Amani na maendeleo in the bigger Somalia regions unapata only Mogadishu ndio Alshaabab menace zinatokeza Sana!!!
 
Nadhani hauelewi modal ya uasi wa Congo na Somalia na mapigano ni tofauti, somalia alshabaab hutumia raia kama ngao hao M23 wako field wanapigana kabisa
Wewe ndio huelewi, model ya M23 na Alshabaab ni sawa kabisa, wote wanalo jeshi lenye uniform na vikosi kamili, wote huteka na kutawala maeneo, tofauti ni kwamba Alshabaab wakati Fulani hutumia wapiganaji wa kujitoa muanga, lakini hiyo sio tatizo Kama jeshi ni imara katika(military intelligence)
 
Hata ndani ya MONUSCO Kuna FIB na inafanya kazi hizo hizo kam za EADF.Na FIB Ina troops, air reconnaissance, surveillance drones, attack helicopters etc.
 
Chief hustler anaenda kuibia wakongo rasmi. Hapo Kenya kashamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…