imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Bunge letu halitaarifiwi hizo hela anatoa nani na wakirudi vilema nani anatoa fidia?.Nchi za east africa zote zitapeleka vikosi hayo yalikua makubaliano ya wakuu wa nchi toka mwezi wa nne mwaka huu hivo hata TPDF ndani ya nyumba
Jeshi letu likienda kimya kimya yakitukuta yale ya Biafra?
Jeshi letu liwe na Baraka za Wananchi kwenye mission yoyote
Hili ndio maana linaitwa JW.