Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Nchi za east africa zote zitapeleka vikosi hayo yalikua makubaliano ya wakuu wa nchi toka mwezi wa nne mwaka huu hivo hata TPDF ndani ya nyumba
Bunge letu halitaarifiwi hizo hela anatoa nani na wakirudi vilema nani anatoa fidia?.

Jeshi letu likienda kimya kimya yakitukuta yale ya Biafra?

Jeshi letu liwe na Baraka za Wananchi kwenye mission yoyote

Hili ndio maana linaitwa JW.
 
Bunge letu halitaarifiwi hizo hela anatoa nani na wakirudi vilema nani anatoa fidia.

Jeshi letu likienda kimya kimya yakitukuta yale ya Biafra?

EACRF - East African Community Region Force , baada ya pale tunarejerea ICGR mikataba ikoje, na mikataba ya Angola na kigali ikoje kikubwa tunataka amani Eastern Congo
 
EACRF - East African Community Region Force , baada ya pale tunarejerea ICGR mikataba ikoje, na mikataba ya Angola na kigali ikoje kikubwa tunataka amani Eastern Congo
Mikataba ya Angola na Kigali hapo unamaanisha Nini mkuu?
 
Naomba huku kwetu isitolewe bendera kama hiyo maana sabuni mche utakuwa 10,000 uliuliza utaambiwa tunapigana Congo haya ndo matokeo ya kushiriki vita
 
Umebaki nyuma?
Kama Ni mkataba ya Angola khs amani ya Congo then mkataba unasema M23 wajumuishwe kwy jeshi la congo FARDC na watambulike kama raia wa Congo,Mkataba wa Nairobi chini ya Kenyatta nao unasema hivyo hivyo.

Congo nayo imesema kamwe hauwezi kuwatambua M23 sababu Ni terrorist group.

Una Cha ziada?
 
EACRF - East African Community Region Force , baada ya pale tunarejerea ICGR mikataba ikoje, na mikataba ya Angola na kigali ikoje kikubwa tunataka amani Eastern Congo
Somalia nayo inaingia 😖kwahiyo hii itakuwa ni Jumuia ya migogoro au ni ya Kibiashara🤔

Hii Jumuiya itakuwa ya Mavita tu mpaka ivunjike.😁
 
Kama Ni mkataba ya Angola khs amani ya Congo then mkataba unasema M23 wajumuishwe kwy jeshi la congo FARDC na watambulike kama raia wa Congo,Mkataba wa Nairobi chini ya Kenyatta nao unasema hivyo hivyo.

Congo nayo imesema kamwe hauwezi kuwatambua M23 sababu Ni terrorist group.

Una Cha ziada?

Ndio maana tunarejea huko
 
Tshisekedi atakua anafurahi Sana Muda huh, maana anaenda kuahirisha uchaguzi mkuu kwa kigezo Cha Vita hio, akicheki uchaguzi mkuu umekaribia,haja-deliver huku Martin Fayulu amemkalia kooni(na huyu hata uchaguzi uliopita alishinda Ila akachaachuliwa na amapendwa kishenzi na wacongo).

Wiki nzima hii Tshisekedi ameshinda anamtafuta Kabila ili waendeleze ile coalition Yao nae kabila kamchunia tu.Anajisahaulisha figisu anazomfanyia Kabila.

Interesting times ahead.
 
Askari wa KDF ni waroho sana wa Bia, na wakishalewa wanaanza kuimba Kikamba, na kuanza kuwateta Askari wa Kiborana, watatekwa kirahisi sana.

KDF sio Jeshi mmoja.
 
M23 ni wagumu wale jamàa
Wana nguvu ya Rwanda na baadhi ya mabeberu kama USA Na England ili wachote madini
 
Back
Top Bottom