Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Dunia tukimppinga ndio atatoka??wanajeshi wafanye yao simpleDikteta na fisadi papa kiongozi wa china xi jinping amewafuta kazi na kuwaweka kizuizini general wa jeshi wawili kuwashutumu wanatumika na Trump, Pentagon (USA) kuihujumu china
Anawasingizia kuwa wanaripot Pentagon kuhusu uwezo wa ki nuclear wa China
Huu uongo wa dikteta xi jinping unakuja baada ya kigundua kuwa jeshi kwa kiasi kikubwa limeacha kumuunga mkono
Huyu Baba usoni anaonekana mpole lakini ni nyamera,jizi,liuaji na fisadi papa
Amewatafutia makosa ya uongo baada ya kuchoshwa naye
Sasa amechanganyikiwa analifumua jeshi akidhan atapendwa Tena
Hiyo xi jinping unajidangnya tu wachina hawakutaki Tena
Wachina wanaotaka demokrasia wamechoshwa na unafiki na ufisadi wa CPP
Duniani tuungane kumpinga huyu baba fisadi
Àsanteni
Kwa Sasa Nipo Germany
Niliposoma Kichwa cha Habari tu, nikajua uko "biased". Unasema Rais "anawasingizia", ukimaanisha kwamba wewe unaujua ukweli ambao sio alioutumia Rais kufikia hatua aliyochukua. Hebu tuambie huo ukweli ni upi, na wewe uliujuaje ukamzidi hata Rais wa nchi hiyo? Baada tu ya kuona "bias" yako, hata hamu ya kuusoma uzi ikaishia hapo.Dikteta na fisadi papa kiongozi wa china xi jinping amewafuta kazi na kuwaweka kizuizini general wa jeshi wawili kuwashutumu wanatumika na Trump, Pentagon (USA) kuihujumu china
Anawasingizia kuwa wanaripot Pentagon kuhusu uwezo wa ki nuclear wa China
Huu uongo wa dikteta xi jinping unakuja baada ya kigundua kuwa jeshi kwa kiasi kikubwa limeacha kumuunga mkono
Huyu Baba usoni anaonekana mpole lakini ni nyamera,jizi,liuaji na fisadi papa
Amewatafutia makosa ya uongo baada ya kuchoshwa naye
Sasa amechanganyikiwa analifumua jeshi akidhan atapendwa Tena
Hiyo Xi Jinping unajidangnya tu wachina hawakutaki Tena
Wachina wanaotaka demokrasia wamechoshwa na unafiki na ufisadi wa CPP
Duniani tuungane kumpinga huyu baba fisadi
Àsanteni
Kwa sasa nipo Germany
Asante kwa andiko zuri, umeandika ukiwa kijiwe Al Hamas karibu na Masjid Hajra Buza kwa Mpalange na hizi taarifa unazo wewe tu dunia nzima hata wachina wanaishi nchini humo hawajui ila ww tu ukiwa Buza..Acha ujinga ndugu katika nchi ina intelligence unit ya hatari duniani ni China kuliko hata MOSSAD NA CIA sema sio watu wa kujisifu, ndo maana google ma CIA zaidi ya 30 wamepotelea china kimya kimya ,
2, Mpaka Rais awe na hizo taarifa lazima zipo verified na team yake
3. Mwisho china sasahivi ndo anaenda kuwa super power kwa hiyo lazima ajilinde sana sana na amefanikiwa kujilinda kwa muda mrefu sana maaana walishajaribu kumzuia sana asifikie hapo alipo waeshindwa
4 Officially 2027 anaenda kukinukisha rasmi, Google kidogo anamalizia nuclear protection bunker
Kichwa cha Habari tu kinaonyesha ulivyo MpuuziDikteta na fisadi papa kiongozi wa china xi jinping amewafuta kazi na kuwaweka kizuizini general wa jeshi wawili kuwashutumu wanatumika na Trump, Pentagon (USA) kuihujumu china
Anawasingizia kuwa wanaripot Pentagon kuhusu uwezo wa ki nuclear wa China
Huu uongo wa dikteta xi jinping unakuja baada ya kigundua kuwa jeshi kwa kiasi kikubwa limeacha kumuunga mkono
Huyu Baba usoni anaonekana mpole lakini ni nyamera,jizi,liuaji na fisadi papa
Amewatafutia makosa ya uongo baada ya kuchoshwa naye
Sasa amechanganyikiwa analifumua jeshi akidhan atapendwa Tena
Hiyo Xi Jinping unajidangnya tu wachina hawakutaki Tena
Wachina wanaotaka demokrasia wamechoshwa na unafiki na ufisadi wa CPP
Duniani tuungane kumpinga huyu baba fisadi
Àsanteni
Kwa sasa nipo Germany
Hivi mnaposema China anaenda kuwa super power huwa mnatumia vigezo gani mkuuAcha ujinga ndugu katika nchi ina intelligence unit ya hatari duniani ni China kuliko hata MOSSAD NA CIA sema sio watu wa kujisifu, ndo maana google ma CIA zaidi ya 30 wamepotelea china kimya kimya ,
2, Mpaka Rais awe na hizo taarifa lazima zipo verified na team yake
3. Mwisho china sasahivi ndo anaenda kuwa super power kwa hiyo lazima ajilinde sana sana na amefanikiwa kujilinda kwa muda mrefu sana maaana walishajaribu kumzuia sana asifikie hapo alipo waeshindwa
4 Officially 2027 anaenda kukinukisha rasmi, Google kidogo anamalizia nuclear protection bunker
Wewe kila uzi lazima uingize udini coz ndio uwezo wako wakufikiri ulipoishia hapo,Hao wanaoipigia sana China chapuo mara nyingi ni jihadists wanaoichukia Marekani kwa sababu za imani za kigeni za kuiga na wanasahau kwamba China hiyohiyo hairuhusu imani hizo za kigeni kwani haziendani na utamaduni wao.
Ninachangia mada kutokana na maudhui yake na kama ina muelekeo wa kidini ninaenda nao hivyo hivyo japo mengi mno nimeyaongea kwenye hili jukwaa yasiyo husiana na dini na wenye kuona wataona.Wewe kila uzi lazima uingize udini coz ndio uwezo wako wakufikiri ulipoishia hapo,
Huna mchango wowote wa maana hapa JF zaidi ya kuleta issue za udini na ndio kitu pekee kilichobaki kinachokupa faraja kwenye maisha yako,
Kwahiyo watu wakisema na wewe una support US coz wanaruhusu ndoa za mashoga watakua wapo sahihi?
Go out and get a life,hizi chuki haziwezi kuyabadili magumu unayoyapitia.
Wewe ni mtu usiyejielewa na unaonekana ni mtu unayepitia maisha magumu sana,faraja yako pekee iliyobaki ni kukashifu imani za watu hapa JF,Ninachangia mada kutokana na maudhui yake na kama ina muelekeo wa kidini ninaenda nao hivyo hivyo japo mengi mno nimeyaongea kwenye hili jukwaa yasiyo husiana na dini na wenye kuona wataona.
Tatizo lenu hamtaki mabaya yanayohusiana na imani yenu yasemwe hata kama ndio msingi wa mada na sisi wengine inabidi tuongee tu kwa sababu hatupendi unafiki.
Mijadala mingi inayohusu Marekani, Russia, China au Iran humu jukwaani uchangiaji wake mara nyingi huchukua sura ya kidini na huo ndio ukweli.
Upo sahihi sana kuhoji hivyo.Hivi mnaposema China anaenda kuwa super power huwa mnatumia vigezo gani mkuu
Kama USA ina GDP kubwa kuliko China ikiwa na idadi ndoogo ya watu mara tano zaidi ya China, utawezaje kusema China itakuwa super power soon kwa GDP iliyo ndogo kuliko USA na ikiwa na idadi kubwa zaidi ya watu kuliko Africa na Ulaya?
Wapi na wapi chief, tutumie hesabu gani kupata hiki mnachokuwa mnadai?
Hatukatai China kuwa super power, ila inahitaji apewemuda
kumbeAcha ujinga ndugu katika nchi ina intelligence unit ya hatari duniani ni China kuliko hata MOSSAD NA CIA sema sio watu wa kujisifu, ndo maana google ma CIA zaidi ya 30 wamepotelea china kimya kimya ,