Daah superpower ni yule muhuni anaenyakua wenzake na kutaka kuuza mafuta ya Nchi nyingine yeye apate faida na pia anawawekea vikwazo wenzie..Acha ujinga ndugu katika nchi ina intelligence unit ya hatari duniani ni China kuliko hata MOSSAD NA CIA sema sio watu wa kujisifu, ndo maana google ma CIA zaidi ya 30 wamepotelea china kimya kimya ,
2, Mpaka Rais awe na hizo taarifa lazima zipo verified na team yake
3. Mwisho china sasahivi ndo anaenda kuwa super power kwa hiyo lazima ajilinde sana sana na amefanikiwa kujilinda kwa muda mrefu sana maaana walishajaribu kumzuia sana asifikie hapo alipo waeshindwa
4 Officially 2027 anaenda kukinukisha rasmi, Google kidogo anamalizia nuclear protection bunker
Hii sio habari ya china soma between the linesAcha ujinga ndugu katika nchi ina intelligence unit ya hatari duniani ni China kuliko hata MOSSAD NA CIA sema sio watu wa kujisifu, ndo maana google ma CIA zaidi ya 30 wamepotelea china kimya kimya ,
2, Mpaka Rais awe na hizo taarifa lazima zipo verified na team yake
3. Mwisho china sasahivi ndo anaenda kuwa super power kwa hiyo lazima ajilinde sana sana na amefanikiwa kujilinda kwa muda mrefu sana maaana walishajaribu kumzuia sana asifikie hapo alipo waeshindwa
4 Officially 2027 anaenda kukinukisha rasmi, Google kidogo anamalizia nuclear protection bunker
Ni kweli Marekani bado ndo mbabe wa dunia rasmi sema anapungukiwa kidogo kidogoDaah superpower ni yule muhuni anaenyakua wenzake na kutaka kuuza mafuta ya Nchi nyingine yeye apate faida na pia anawawekea vikwazo wenzie..
USA anatawala mpaka maji ya bahari ambayo ayamuhusu kabisa akiona wavuvi wanapita anawalipua na kuwapa kesi ya wanasafirisha madawa ya kulevya..
Mwanzo niliamini hivyo ila sio kweli USA anatengeneza migogoro ya Nchi yeyote kama sasa hivi China wanatengenezewa vita na Taiwan uzuri China wana uelewa mkubwa hawajaingia kama Israel na Russia walivyoingia harafu anarudi nyuma kama mpanishi tena..Ni kweli Marekani bado ndo mbabe wa dunia rasmi sema anapungukiwa kidogo kidogo
Sababu ya kufukuzwa kazi siyo hiyo anayosema mleta uziXi Jinping huyu huyu?