Rais Xi Jinping amewafukuza kazi general CDF wake wawili kwa kuwasingizia wanatumika na Pentagon

Daah superpower ni yule muhuni anaenyakua wenzake na kutaka kuuza mafuta ya Nchi nyingine yeye apate faida na pia anawawekea vikwazo wenzie..
USA anatawala mpaka maji ya bahari ambayo ayamuhusu kabisa akiona wavuvi wanapita anawalipua na kuwapa kesi ya wanasafirisha madawa ya kulevya..
 
Hii sio habari ya china soma between the lines
 
Ni kweli Marekani bado ndo mbabe wa dunia rasmi sema anapungukiwa kidogo kidogo
 
Ni kweli Marekani bado ndo mbabe wa dunia rasmi sema anapungukiwa kidogo kidogo
Mwanzo niliamini hivyo ila sio kweli USA anatengeneza migogoro ya Nchi yeyote kama sasa hivi China wanatengenezewa vita na Taiwan uzuri China wana uelewa mkubwa hawajaingia kama Israel na Russia walivyoingia harafu anarudi nyuma kama mpanishi tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…