unafikir ni vichekesho ? hv ndivyo tulotawaliwa mmoja anaumia mwingine anacheka , ikifika zamu yake ndo anakumbuka alipokoseaAkubali yaishe. Mpaka namuonea huruma. Mwenye digrii kutazamia mtihani kwa fomu 4.
Tumsaidie nini?
Labda mahindi.
Anakimbia kimbia na kulia lia....Huyu naye afanye mazungumzo siliasi na Urusi wamalize vita vinavyo poteza maisha ya raia wake, hata akiutubia dunia nzima akuna kitakacho badirika vitani.
Malizaneni kwanza na Alshabab na ukame unaowakabiliSafi sana, tutamskiliza na tutamsaidia na silaha. Hapa Kenya tuna kampuni ya kutengeza rifles.
Mbona shida zetu tunawapelekea watusaidie,Mambo yetu atuachie wenyewe...
Shit hole countries zinaweza kutoa msaada gani sasaAnaomba msaada wa nini wakati tunaambiwa anaifurusha urusi sasahvi
wewe ndo unaona ni shit hole.. lkn msanii anataka azungumze nao kuna umuhimu ameuona kwaoShit hole countries zinaweza kutoa msaada gani sasa
Malizaneni kwanza na Alshabab na ukame unaowakabili
Ninyi wenyewe mwahitajia kusikilizwa
Wewe ulitaka akubali tu kupeleka matako yake URUSI?. Wewe utakuwa kiongozi wa nchi au matope?. Yaani maamuzi yako yalazishwe na rais kutoka nchi jirani.Apeleke ujinga wake huko,hakuna anayehitaji kumsikiliza huyo zuzu aliyekubali kuiangamiza nchi yake ili awafurahishe US na NATO.View attachment 2184768
[emoji1][emoji1][emoji1] [emoji116][emoji116] hakika huyu Jamaa Ni shujaa saaana.[emoji1][emoji1][emoji1]Wewe ulitaka akubali tu kupeleka matako yake URUSI?. Wewe utakuwa kiongozi wa nchi au matope?. Yaani maamuzi yako yalazishwe na rais kutoka nchi jirani.
Huyo rais bonge la Mwanaume halisi. Bora uingie vitani kuipambania familia yako,kuliko jirani akupangie cha kufanya katika familia yako
Mmea bila kula,hayo ndio matokeo[emoji1][emoji1][emoji1] [emoji116][emoji116] hakika huyu Jamaa Ni shujaa saaana.[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2184842
"Itika wito kataa neno ".Unakataa unajua Anataka kusema nini??.Apeleke ujinga wake huko,hakuna anayehitaji kumsikiliza huyo zuzu aliyekubali kuiangamiza nchi yake ili awafurahishe US na NATO.View attachment 2184768
Aje tumsaidie maswala ya uchawi tumroge Vladimir vodika Putin.Rais wa Senegal ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Macky Sall amesema Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelenksy ameomba kuzungumza na Umoja huo. Wito huo unakuja kukiwa na mgawanyiko kuhusu uvamizi wa Urusi.
Nchi nyingi za Afrika zimeonesha kutofungamana na upande wowote katika vita ya Urusi na Ukraine ambayo imepelekea Mataifa mbalimbali Barani humo na duniani kwa ujumla kushuhudia athari za kiuchumi za mapigano yanayoendelea.
Hivi karibuni Nchi 58 hazikupiga kura katika Mchakato wa kuiondoa Urusi katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, na inaripotiwa 24 zilikuwa za Afrika.
=======
Ukrainian President Volodymyr Zelenksy has requested to address the African Union, Senegalese President Macky Sall said on Monday.
Sall, the current AU chairman, tweeted that he and Zelenksy had discussed over the phone the economic impact of the war in Ukraine and "the need to favour dialogue for a negotiated outcome to the conflict".
The Ukrainian president also asked to address the AU, Sall said.
The request comes amid a divided African response to Russia's invasion of Ukraine.
For example, 58 countries abstained from an April 7 vote in the United Nations General Assembly that suspended Russia from the UN Human Rights Council over its invasion.
Africa accounted for 24 of the abstaining countries, which included Senegal. Nine other African countries voted in favour of the resolution, and 9 voted against.
πππ Yeye si ameshinda Vita huko Russia,Sasa analia lia Nini kwny mabunge ya watu?ππ"Itika wito kataa neno ".Unakataa unajua Anataka kusema nini??.
Wewe utakuwa na chuki binafsi kwa Rais wa Ukraine.Sasa kuna ubaya gani kuongea na Viongozi wa AU??.[emoji1][emoji1][emoji1] Yeye si ameshinda Vita huko Russia,Sasa analia lia Nini kwny mabunge ya watu?[emoji1][emoji1]
Na makushabu mixer mavi ya ng'ombe matokeo yake ndio hayo hapo juu niliyoya quote.Mmea bila kula,hayo ndio matokeo
[emoji1][emoji1][emoji1] aisee.Wewe utakuwa na chuki binafsi kwa Rais wa Ukraine.Sasa kuna ubaya gani kuongea na Viongozi wa AU??.