Rais Zelensky aomba mazungumzo na Umoja wa Afrika (AU)

Mwambieni aende Moscow kuongea ma Putin vita nchini kwake viishe!
 
Huyu naye afanye mazungumzo siliasi na Urusi wamalize vita vinavyo poteza maisha ya raia wake, hata akiutubia dunia nzima akuna kitakacho badirika vitani.
Mvamizi atoke kwenye nchi ya watu na hapo hapo vita itaisha.
 
Wamkatalie.Fitna mkubwa huyu.Anataka aanzishe vita ya tatu ya dunia.Juzi ameendelea kuiomba Ulaya isiseme peke yake,bali waingie vitani.
Wamkatalie.
 
Namshauri aachane na waafrika ambao ni watu waliolaaniwa na kwanza ni ombaomba ambao hawana msaada wowote kwake.

Walimdanganya Gaddafi kwamba wako naye mwisho wa siku Gaddafi alizikwa peke yake kwenye kaburi lisilofahamika jangwani.

Hawa hawa waafrika ambao kwenye dhiki hukimbilia kuwapigia magoti mataifa ya magharibi eti unawakuta wanawashabikia Warussia ambao hawajawahi kuwavulia hata mtumba tu wa soksi au hata brezia.

Sisi waafrika ni watu wa hovyo sana na kuwa kwetu hivi sio kwa ajali ila tunastahili hata Putin huyo wanayemlamba matako amewahi kutuponda sana ngozi nyeusi kwamba ni viumbe vya hovyo kabisa vinavyoiba hela kwao na kwenda kuficha Ulaya.
 
Basi akae kwa kutulia sasa sisi tumsaidieje?
Msaidieni kumwambia mvamizi aondoke arudi kwake, na kama ana kiu ya damu za watu basi akanywe damu za raia wake.
 
Huyu Vita kashinda, katangaza wameyarudisha nyuma majeshi ya Urusi, kamaliza fighter jets na helicopter na vifaru vya mrusi vyote, vilivyoingia Ukraine, sasa sisi anataka mazungumzo nasi juu ya nini?!
Labda kurudisha Ada za chuo za wanafunzi wetu!?
Au anaomba tumpelekee mafundi uashi toka VETA, wakasaidie ujenzi!?

Zelensky understand please, you won the war! Congratulations! That's all we Africans can offer!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…