Rais Zelensky aomba mazungumzo na Umoja wa Afrika (AU)


Au ana show ya uchekeshaji afrika
 
Au anataka tumuandalie sherehe kwa kushinda vita dhidi ya warusi??!!😂😂
Msengerema huyu, kalikoroga yeye si akiwa hajavaa hata nguo, kisha sasa anataka site tulinywe!
Mbona hajamuomba Boris Johnson wakapigane!?
Hapo anataka waafrika, awape hela alizokopeshwa na mabeberu, wapelekwe wanajeshi huko Kwa kigezo kipi!?
Kwamba atawazawadia labda silaha za bure!?
 
ila yy ndo kavamiwa

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
KUNA SHIDA GANI KUTII AMRI YA RUSIA ILI KUOKOA MAISHA YA RAIA WA UKRAIN???

HUYU PUNGU KAONA KUJIUNGA NATO NI MUHIMU KULIKO MAISHA YA WATU.

ALIWEKWA MADARAKANI NA NATO AU HAO RAIA WANAOKUFA??

HATA UKIMUONA ANAPOONGEA FACIAL EXPRESSION HAONESHI KAMA ANAUMIA NA VIFO VYA RAIA. YUKO TU KAMA MR. BEEN.
 
Hatumtaki kenge huyo anayetapatapa
 
Sasa ilikuaje Russia alipoenda kuweka makombora yake pale Cuba, Marekani ikawa haitaki na ikasema tayari kwa Vita ya nuclear.
Nao wakikosea kuingilia nchi huru kwenye maamuzi yake, mkuu either marekani or urusi kuingilia maamuzi ya nchi huru ni kosa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…