lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Andiko la busara sana hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe inaonekana siyo mfuatiliaji.Hatimaye Ukraine itashindwa tu baada ya kuwa imeharibika vibaya, mazingira yakiwa yameharibika kabisa. Juzijuzi tu moja ya silaha aina ya depleted uranium (shells) zikiwa ghalani zimelipuliwa na zina madhara kwa .mazimgira.
Russia kamwe na kwa gharama yeyote kwake ushindi ni lazima.
Tunabadilishana tu mawazo.Huu ni msimamo wako mkuu na utaheshimika na kila mmoja
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa mataifa washirika wa Nato kwa sasa wanachopigania ni kuhakikisha wanamuangusha Putin.Wewe inaonekana siyo mfuatiliaji.
Hayo mataifa ya Magharibi, hayawezi kukubali kushindwa. Ukraine itaathirika sana, hasa kwenye kupoteza uhai wa watu wake, lakini ni lazima Russia itashindwa hata kama itakuwa ni baadabya muda.
Hivi unajua kuwa hata uwepo wa hiyo nchi ya Ukraine ni matokeo ya Urusi kushindwa dhidi ya mataifa ya Magharibi? Hiyo Ukraine ilikuwa ni sehemu ya USSR. Unafahamu ni kwa nini USSR ilikufa? Unafahamu kuwa Russia baada ya wananchi wake kuishi kwa mateso makubwa kwa miaka mingi, huku wananchi wake wengi wakitorokea mataifa ya Magharibi, ikawa haina namna zaidi ya kuyapigia magoti mataifa ya Magharibi, nayo yakampa masharti, na baada ya kuyatekeleza ndipo akaondolewa vikwazo, akamwagiwa misaada ya pesa iliyomsaidia kuanza kuujenga uchumi wake uliokuwa umedorora sana?
Nchi za Magharibi zimepata mahali pa kuidhoofisha sana Urusi. Na haya mataifa ya Magharibi hayatatulia mpaka yahakikishe Urusi imetokomea. Kumbuka Urusi ndiyo inayowapa tekinolojia ya nuklia North Korea na Iran. Na mataifa ya Magharibi yanahofu kuwa huenda baadaye ikaipa tekinolojia hiyo Syria na mataifa mengine yenye tawala za kidikteta, zikiwemo za Afrika. Hivyo hawatamwacha ashinde, kwa sababu licha ya kuisaidia Ujraine, nyuma yake ni kutafuta uhakikisho kuwa Russia haiwi hatari kwa usalama wao kupitia tekinolojia ya nuklia inayoisambaza kwa tawala za kidikteta.
Kushindwa kwa Urusi hakutakuwa kwenye battlefield, bali itakuwa mchanganyiko wa mbinu. Hakuna uwekezaji, mapato yanashuka, skilled labor inakimbia, mapato yaliyobakia kidogo yanagharamia vita, watu wanaishi maisha magumu, etc. Kwa upande mwingine, haya mataifa mengine kwa umoja wao wana uwezo wa kuitegemeza Ukraine kwa kipindi kirefu kadiri watakavyo.
Nyiny watanganyika mliwalipa nini waliowasaidia kumkabili Idd Amin ?Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.
Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.
Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.
Je unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee?jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.
Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.
Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.
Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako. View attachment 2628605
Kwan huyo ndo alienda Urusi kuwaomba waivamie Ukraine ? au Urusi alipoipora Crime Zele ndo alikuwa rais kipind hicho ? au Urus alipokuwa anasaidia waas kujitenga mwaka 2014 hadi 2019 Zele ndo alichochea ? Hii vichaa mpo wengi sema mkinunua smart mnaanza ambukiza wengine ukichaa , huo mgogoro mchoche ni urusi na ndio maana majiran wengine wa Urusi wameanza jihami mapema sana mf Moldova katuma barua kujiunga na EU pia Georgia anapambania kujiunga na NATO huku Finland akiwa tyr kajiunga na NATO , sasa mmatumbi uliyeferi hesab za kuchagua ndo unajua zaid ya majiran wa urusi ?Kajamaa kanatia kichefuchefu kwa kuwauza wananchi wake.
Kwan sijaelewa Ukraine imeivamia Urusi au Urusi kaivamia Ukraine , je uhusika wa Zele ni upi ? Kumkabili Putin au ulitaka aache nchi iwe kolon la urusi kama alivyofanya kwa majimbo ya donetsk na luhansk alisema anayasaidia kuwa huru ila akaja yaingiza Urusi , kwako hii ni sawa ?Kuimaliza Russia ilikuwa ni ndoto ya muda mrefu sana ya NATO, Zelensky anatumika kama scapegoat..
Russia was a really threat to the entire regime, power influence and economics to the entire NATO group and their allies.
Labda ungeuliza atawalipa nini maelfu ya raia wake waliopoteza uhai kwa vita isiyo na sababu za msingi kwenye mambo yaliyokuwa yanazungumzika.
Kwani ukionyesha kutofautiana na mchango wa mtu kwa busara utakosa nini ndugu?Kwan huyo ndo alienda Urusi kuwaomba waivamie Ukraine ? au Urusi alipoipora Crime Zele ndo alikuwa rais kipind hicho ? au Urus alipokuwa anasaidia waas kujitenga mwaka 2014 hadi 2019 Zele ndo alichochea ? Hii vichaa mpo wengi sema mkinunua smart mnaanza ambukiza wengine ukichaa , huo mgogoro mchoche ni urusi na ndio maana majiran wengine wa Urusi wameanza jihami mapema sana mf Moldova katuma barua kujiunga na EU pia Georgia anapambania kujiunga na NATO huku Finland akiwa tyr kajiunga na NATO , sasa mmatumbi uliyeferi hesab za kuchagua ndo unajua zaid ya majiran wa urusi ?
Ww mchambia majan na hao wazungu wa mashariki ya ulaya ( jiran zake Putin ) nan anajua hasa hiyo migogoro na njia ipi hasa ya kujikwamua kutoka kwa russia domination ?Inawezekana kabisa mkuu maana kuna binadamu wanaomba kabisa matatizo
Korea awe tajiri kuliko urusi Amkaa mkuuKwenye hili umepotoka sana ndugu yangu.
Jiulize, hivi nchi za Magharibi walipowaisaidia sana South Korea, hadi leo Korea kusini kufikia kuwa nchi tajiri kuizidi hata Urusi (achilia mbali North Korea ambayo wananchi wake wanaishi kwa kujikimu), South Korea wanalipa nini kwa mataifa ya magharibi? Je, wananchi wa South Korea wameuzwa kwa nchi za Magharibi? Jiulize pia, baada ya vita kuu ya Dunia, US iliisaidia sana Ujerumani Magharibi na Japan. Je, baada ya hapo hizo nchi zinailipa nini Marekani?
Na huko unakosema wananchi watauzwa, ebu fafanua, binadamu anauzwaje kutoka taifa lake kwa Taifa jingine? Maana binadamu siyo kitoweo au mchele.
Sioni namna ambayo Ukraine italazimishwa kumlipa yeyote. Urusi imepewa misaada mingi ya kifedha kutoka nchi za magharibi miaka ya 1900 mpaka 2000, imekuwa ikiyalipa nini hayo mataifa ya magharibi?
Sisi tuliwasaidia waganda, waSouth Afrika, Msumbiji, Komoro, Angola; je, wanatulipa nini?
Fahamu mpaka leo, wananchi wa North Korea wanauawa mpakani na South Korea, wakitorokea South Korea kutafuta unafuu wa maisha. Na kama kusingekuwa na sheria kali za kuwazuia wananchi wa North Korea kwenda South Korea, mamilioni ya wananchi wa North Korea wangehamia South Korea kuliko kubakia kwa yule Rais wao kichaa.
Rais Zelensky nikimuokoa ninamkumbuka JK wa TZUkiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.
Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.
Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.
Je unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee?jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.
Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.
Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.
Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako. View attachment 2628605
Ukisoma koment za waswahili kama nyiny unaifunza kuwa waafrika bado mpo karne ya 15 , ndio maana mlitawaliwa , mnaamin kila ugomv unalenga kushinda kwa kumtoa mwenzio damu ? Urusi anapotezewa muda hapo ili awe dhohofi kiuchumi , warusi wanalalamika sana , na kibaya China kateka uchumi wa Urusi sasa hv kila kitu ndan ya Urusi kimekuwa made in china , baada ya vita kama Urus akishinda bas anaenda kuwa kolon la china indirectly , na kama Urusi akishindwa bas ndan ya Urusi kuna jamii zinakandamizwa miaka na miaka hasa zile zenye asili ya kichina /asia na weng wenu mnaamin warusi wana asili ya kizungu tu , sio kwel bali upande wa East ya Urusi imetawaliwa na waasia na wamenyimwa fursa kila kona ya nchi yao ya UrusiHatimaye Ukraine itashindwa tu baada ya kuwa imeharibika vibaya, mazingira yakiwa yameharibika kabisa. Juzijuzi tu moja ya silaha aina ya depleted uranium (shells) zikiwa ghalani zimelipuliwa na zina madhara kwa .mazimgira.
Russia kamwe na kwa gharama yeyote kwake ushindi ni lazima.
Akili zako ndogo san kumbe unaandika iwa misimamo na sio factsHuu ni msimamo wako mkuu na utaheshimika na kila mmoja