Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Kuimaliza Russia ilikuwa ni ndoto ya muda mrefu sana ya NATO, Zelensky anatumika kama scapegoat..

Russia was a really threat to the entire regime, power influence and economics to the entire NATO group and their allies.

Labda ungeuliza atawalipa nini maelfu ya raia wake waliopoteza uhai kwa vita isiyo na sababu za msingi kwenye mambo yaliyokuwa yanazungumzika.
vita isiyo nasababu zamsingi kivipi wakati kavamiwa
 
Ukisoma koment za waswahili kama nyiny unaifunza kuwa waafrika bado mpo karne ya 15 , ndio maana mlitawaliwa , mnaamin kila ugomv unalenga kushinda kwa kumtoa mwenzio damu ? Urusi anapotezewa muda hapo ili awe dhohofi kiuchumi , warusi wanalalamika sana , na kibaya China kateka uchumi wa Urusi sasa hv kila kitu ndan ya Urusi kimekuwa made in china , baada ya vita kama Urus akishinda bas anaenda kuwa kolon la china indirectly , na kama Urusi akishindwa bas ndan ya Urusi kuna jamii zinakandamizwa miaka na miaka hasa zile zenye asili ya kichina /asia na weng wenu mnaamin warusi wana asili ya kizungu tu , sio kwel bali upande wa East ya Urusi imetawaliwa na waasia na wamenyimwa fursa kila kona ya nchi yao ya Urusi
Comment yako ya 163 ndiyo maana bado upo na kamba mguuni kwa kuwa na makasiriko moyoni mwako
 
Moja ya vijitu vijinga kabisa duniani ni hako ka Zelensky. Kangeifahamu kwa kina Marekani na washirika wake, kasingekubali kuingia kwenye huu mtego.
Unqeza kuta ww ni mjinga kwa kumlaumu aliyevamiwa tena sio mara ya kwanza hata kabla hajawa rais , kosa sio la zele kosa i rais wa kwanza baada ya kujitoa kwenye USSR wenzie akina Latvia na Estonia walijiunga na NATO mapema sana ila hawa walijifanya wanaipenda sana Urusi akina Ukraine , Moldova , Georgia , Finland na Belarus ndo walibakia neutral ila mdg mdg wanalipwa kwa ujinga wao waliemtendea wema leo anawalipa kwa ubaya , Finland kajiunga NATO , Moldova katuma maombi kujiunga na umoja wa ulaya pia Georgia wanapambana kujinga na NATO , Ukraine vita ikiisha anaijunga na NATO na hapo Urusi atahamia huko North Korea , Turkijistan , Mongolia , South Korea , China na Japan ambao hawana alliance yoyote , warus wanaamin kwenye kupora ardhi za majiran kwa ubabe , mataifa ya east yajipange kbs , Urusi le hii anawaogopa Estonia na Latvia kama kaa la moto
 
Comment yako ya 163 ndiyo maana bado upo na kamba mguuni kwa kuwa na makasiriko moyoni mwako
Unaeza kuta ww una mnyororo mguuni maana mtu timamu huez kumlaumu rais anaeitetea nchi yake , baada ya vita hii Urusi au huyo bwaja yako Putin hatojaribu isogelea Ukraine tena , hali ndani ya Urusi huijui Putin anaish kwa hofu sasa haijawai tokea , ndan ya Urusi ana maadui maana wapo warusi wengi wenye asili ya ukraine na wanaguswa na mauaji ya Putin
 
Kwani ukionyesha kutofautiana na mchango wa mtu kwa busara utakosa nini ndugu?

Staarabika maana wenzako tulishatoka huko kwenye kutumia matusi.
Unaandika utoto mwingi inshu sio kutofautiana inshu unaandika pumba , ebu uwe unaishirikisha akili yako kabla hujaleta kitu kwenye hadhara , kufanya vitu kwa mahaba kupita kiwango inakushushia heshima na ukiitwa majina unayostahiri unaona unatusiwa kumbe ndo haki yako
 
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.

Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.

Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.

Je, unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee? Jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.

Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.

Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.

Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako.

View attachment 2628605
Hivi wewe unaishi sayari ipi??Ambayo hujaona Ufirauni wa Warusi .Kuwa na huruma kwani anachofanya Mrusi kwa watu wa Ukrain hata Hitler hakufanya kwa hiyo kama umekwenda shule na unajua kusoma na kuandika na critical thinking please 🙏🏿 don’t write this bull shit because it’s an insult to humanity
 
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.

Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.

Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.

Je, unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee? Jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.

Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.

Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.

Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako.

View attachment 2628605
Kwani Korea kusini alivyovamiwa na Korea kaskazini akasaidiwa kupambana na mvamizi aliwatoa wananchi wake je aliwalipa nini wa magharibi mbona Korea kusini leo ni nchi tajiri kuliko hata Urusi
 
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.

Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.

Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.

Je, unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee? Jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.

Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.

Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.

Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako.

View attachment 2628605
Kumbuka Ukraine kavamiwa na Urusi anapambana kutetea uhuru wake na Urusi ananguvu kwa hiyo ulitaka asalimishe ardhi yake kwa Urusi
 
Mkuu kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa mataifa washirika wa Nato kwa sasa wanachopigania ni kuhakikisha wanamuangusha Putin.

Hawana ubaya na wananchi wa Urus hata kidogo hivyo basi siku Putin akitoka madarakani tu basi na vita ya Nato na Rusia inasimama hapo hapo.

Kumbuka kuwa rais ni taasisi na akitoka Putin atakuja mrusi mwingine ataendeleza hiyo teknolojia ya nyuklia.
kwa mfamo walivo mwangusha gadafi wa libya na sadamu huseni na afghanistani .....na kuweka democrasia yao ...hizo sasa hivi watu wake wanakula bata maisha safi chini ya utawala wa democrasia ...
IMG_20230515_223306.jpg
View attachment 2628765
 
Utajiri unahisi unakuja kwa ukubwa wa ardhi yako tu ? una made in Russia yoyote hapo ? Ila made in korea zipo nying sana mtaani kwenu , au unahisi hizo made in korea zinaletwa bure bure ?
Asante mueleweshe huyo mwehu kwani Urusi the only thing they export is war cyber crimes and weapons and ugly useless yachts that are now stranded assets in European ports and no one knows what what to with the shits that is polluting our earth
 
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.

Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.

Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.

Je, unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee? Jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.

Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.

Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.

Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako.

View attachment 2628605
Kosa la Ukraine ni kuchelewa kujiunga na NATO mapema ndio Urusi kapata fursa ya kumvamia mfano Finland na Sweden ameishtukia hii michezo ya Urusi kuwa neutral inampa Urusi fursa ya kukuvamia
 
Ukisoma koment za waswahili kama nyiny unaifunza kuwa waafrika bado mpo karne ya 15 , ndio maana mlitawaliwa , mnaamin kila ugomv unalenga kushinda kwa kumtoa mwenzio damu ? Urusi anapotezewa muda hapo ili awe dhohofi kiuchumi , warusi wanalalamika sana , na kibaya China kateka uchumi wa Urusi sasa hv kila kitu ndan ya Urusi kimekuwa made in china , baada ya vita kama Urus akishinda bas anaenda kuwa kolon la china indirectly , na kama Urusi akishindwa bas ndan ya Urusi kuna jamii zinakandamizwa miaka na miaka hasa zile zenye asili ya kichina /asia na weng wenu mnaamin warusi wana asili ya kizungu tu , sio kwel bali upande wa East ya Urusi imetawaliwa na waasia na wamenyimwa fursa kila kona ya nchi yao ya Urusi
Mahaba yanakusumbua.

KIlichofanyika ni trade diversiom kutoka kufanya biashara na Ulaya/ USA na kugeukia Russia kufanya biashara na China/India na ncbi zingine za Asia Latin America nk. Hiyo sio kuwa koloni. Fuatilia volume ya biashara utaona.

Pili Fussia na Chima zinakubaliana kusaidiana kuifanya dunia iwe multi-polar iachane na unipolar world inayofuata matakwa ya Magharibi na hili ndio litakuwa faida kubwa ya vita hii kwa dunia.

Sasa asilimia kubwa ya biashara inafanyika kwa Yuan sio Dolla tena. Na baadhi ya nchi za kiarabu zimeanza kufanya biashara na China kwa Yuan.

Lengo la kuidhoofisha Russia limeshindwa na waliodhoofishwa ni Ulaya. Uchumi wao umeathiriwa , wananunua nishati kwa bei ghali zaidi stock ya baadhi ya aina za silaha imepungua mpaka below minimum level kiasi kwamba baada ya awamu hii ya msaada itakuwa viigumu kuendelea kutoa msaada kwa kiwango kklekile ndio maana wameweka matarajio makubwa sana kwenye hicho kinachoitwa counteroffensive ambayo dalili zinaonyesba imeishakuwa disrupted sana na mapigo ya sasa ya Rissia ambapo maghala ya hizo silaha na vifaa yameteketezwa.

RUssia kuwa na jamii zingine zaidi ya jamii kubwa ya kirusi sio ukoloni hata hiyo china haina jamii moja ya Han kuna watibet nk. Nchi nyingi zina mchanganyiko wa jamii japokuwa kunakuwa na jamii moja dominant .
 
Ubarikiwe sana kiongozi kwa ufafanuzi ulioshiba kwa waliotaka kutupoteza
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Kosa la Ukraine ni kuchelewa kujiunga na NATO mapema ndio Urusi kapata fursa ya kumvamia mfano Finland na Sweden ameishtukia hii michezo ya Urusi kuwa neutral inampa Urusi fursa ya kukuvamia
Kunguru muoga daima ukimbiza bawa lake au beki muoga urudisha mpira kwa kipa.
 
Asante mueleweshe huyo mwehu kwani Urusi the only thing they export is war cyber crimes and weapons and ugly useless yachts that are now stranded assets in European ports and no one knows what what to with the shits that is polluting our earth
Hana cha kunielewesha huyo maana yeye anangozwa na mahaba
 
Back
Top Bottom