Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Hivi wewe unaishi sayari ipi??Ambayo hujaona Ufirauni wa Warusi .Kuwa na huruma kwani anachofanya Mrusi kwa watu wa Ukrain hata Hitler hakufanya kwa hiyo kama umekwenda shule na unajua kusoma na kuandika na critical thinking please [emoji1545] don’t write this bull shit because it’s an insult to humanity
Huna mandate ya kunichagulia kipi cha kuandika au upande gani niuunge mkono.
 
Kwan sijaelewa Ukraine imeivamia Urusi au Urusi kaivamia Ukraine , je uhusika wa Zele ni upi ? Kumkabili Putin au ulitaka aache nchi iwe kolon la urusi kama alivyofanya kwa majimbo ya donetsk na luhansk alisema anayasaidia kuwa huru ila akaja yaingiza Urusi , kwako hii ni sawa ?
Zelensky ni mkuda sana, ni jirani muovu.

NATO imemtumia silaha nyingi sana kumchokoza urusi kabla ya ule uvamizi.

Kifupi Ukrain alikuwa anajiandaa na vita huku anachokoza kwa kuweka makombora mengi sana mpakani na Russia, tena makombora ya kupewa na NATO
 
Unqeza kuta ww ni mjinga kwa kumlaumu aliyevamiwa tena sio mara ya kwanza hata kabla hajawa rais , kosa sio la zele kosa i rais wa kwanza baada ya kujitoa kwenye USSR wenzie akina Latvia na Estonia walijiunga na NATO mapema sana ila hawa walijifanya wanaipenda sana Urusi akina Ukraine , Moldova , Georgia , Finland na Belarus ndo walibakia neutral ila mdg mdg wanalipwa kwa ujinga wao waliemtendea wema leo anawalipa kwa ubaya , Finland kajiunga NATO , Moldova katuma maombi kujiunga na umoja wa ulaya pia Georgia wanapambana kujinga na NATO , Ukraine vita ikiisha anaijunga na NATO na hapo Urusi atahamia huko North Korea , Turkijistan , Mongolia , South Korea , China na Japan ambao hawana alliance yoyote , warus wanaamin kwenye kupora ardhi za majiran kwa ubabe , mataifa ya east yajipange kbs , Urusi le hii anawaogopa Estonia na Latvia kama kaa la moto
Huu uzi kila mtu ana uhuru wa kuchangia kile anachokipenda. Hivyo nisingependa unipangie cha kuandika. Na pia siyo lazima mawazo yangu/mtazamo wangu ufanane na wa kwako.
 
Moja ya vijitu vijinga kabisa duniani ni hako ka Zelensky. Kangeifahamu kwa kina Marekani na washirika wake, kasingekubali kuingia kwenye huu mtego.
Nchi yake ilipovamiwa ulitaka afanyaje kama Rais na amiri jeshi mkuu?
 
Zelensnkyy ni myahudi wayahudi matajiri duniani waliosambaa kila nchi duniani ndio wanagharimia hiyo vita

Binafsi nilionya toka siku ya kwanza vita ilipoanza kuwa Russia wamekosea kuvamia nchi ambayo Serikali yake inaongozwa na myahudi Zelensnkyy

Wayahudi huungana kama kitu kimoja mwenzao kama akiwa Raisi akivamiwa

Zelensnkyy hadaiwi chochote
 
Kumbe jina lake kamili ni ZELENSKY MANGUNGO ndo maana mambo yake yanafanana na Chief MANGUNGO wa msovero
 
pamoja na kuwa ni pro west ila hapo huyo jamaa kaongea fact na sio msimamo. Tujifunze kukubali ukweli hata kama ni kinyume na ushabiki wetu.
Mkuu haiwezekani kumlazimisha mtu awe upande wako ili akubali unachokipenda wewe.

Kumbuka kuwa hapa ni jukwaa huru hivyo kila member ana uhuru wa kuamini anacho kiamini.
 
Kumbe jina lake kamili ni ZELENSKY MANGUNGO ndo maana mambo yake yanafanana na Chief MANGUNGO wa msovero
Anakubali kuuuza watu wake kisa ashinde vita
 
Mkuu haiwezekani kumlazimisha mtu awe upande wako ili akubali unachokipenda wewe.

Kumbuka kuwa hapa ni jukwaa huru hivyo kila member ana uhuru wa kuamini anacho kiamini.

fact is a fact haijalishi unaupenda au kuuchukia. Utabaki kuwa ukweli.
 
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.

Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.

Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.

Je, unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee? Jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.

Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.

Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.

Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako.

View attachment 2628605
Hana cha kuwalipa NATO zaidi kuwapelekea kiboga wakichakate na mafuta ya nazi
 
Back
Top Bottom