Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Kuna Katiba mpya kweli kwetu kama yako ni mawazo bora kabisa sasa ya mwana CDM kIndaki ndaki kwenye ubora wako mkuu?

Kwamba kumbe Ukraine hakutakiwa kuwa na uamuzi wala mipango yake yenyewe ila kufuata matakwa ya Putin?

Kumbe si tuyafuate matakwa ya ma CCM tu? Si ndiyo yaliyoko madarakani?

Kumbe mnataka katiba mpya ya nini basi?

Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote

Hata za wa Ukraine ni haki pia ndugu.
Sawa boss ila siamini kama ni muhimu na busara kuifanya akili ibakie kwenye ccm na cdm tuu
 
Kunguru muoga daima ukimbiza bawa lake au beki muoga urudisha mpira kwa kipa.
Ila inabid urudi milembe bado utimamu haujakukaa sawa , mpk sasa unailaumu ukraine kwa kuvamia ? Hasa unamlaumu Zele kwa matatizo aliyoyakuta , bado unakaza fuvu , unalipwa chochote kujitia wehu ?
 
Avae suti ana raha gani nchi yake inanyeshewa mvua ya mabomu kila siku
Duh watu mnaichukia Ukraine kuliko Urusi iliyoshiriki kikao cha kueneza na kubariki ukolon Afrika , Ukraine ya watu haina baya na afrika ila waafrika wana ubaya nayo , kosa lao ni kivamiwa
 
Hana cha kunielewesha huyo maana yeye anangozwa na mahaba
Duh nyiny ndo Late Nyerere aliwaita malaya , mnalipwa kupindisha ukwel , unaona kbs Urusi kaivamia Ukraine ila unailaumu Ukraine kwa kulaumiwa , na unajikuta umezaliwa 2021 kwamba umesahau kuwa Urusi aliwai ivamia tena Ukraine mwaka 2014 na akamega na jimbo moja kbs ila Ukraine hakujibu lolote , ustarabu huu hata Nyerere alishindwa kwa Idd Amin
 
Alafu anajitapa kuwa amemtadika putin vya kutosha
Lin amejitapa? "Amemtandika" tupe hiyo speech au post , nyiny watu ni nusu wehu mnaokoteza maneno vijiwen mnaleta humu kwa watu timamu
 
Hatimaye Ukraine itashindwa tu baada ya kuwa imeharibika vibaya, mazingira yakiwa yameharibika kabisa. Juzijuzi tu moja ya silaha aina ya depleted uranium (shells) zikiwa ghalani zimelipuliwa na zina madhara kwa .mazimgira.
Russia kamwe na kwa gharama yeyote kwake ushindi ni lazima.
Ondoa Shaka west wanaomzigo wa kutosha wakukidhi mahitaji kwa muongo mmoja mbele.

Hata Putin angelipua maghala mia ya siraha is nothing to them.

Yaani ujinga wa Putin umewatengenezea loophole west kutimiza matakwa yao.

Sasa hv west wameweza kum contain Russia pasipo kuleta taharuki duniani kusema labda anaonewa Kama ilivyokuwa kule Vietnam.

Putin ajiandae kisaikolojia
 
Kavamiwa baada ya kuegesha makombora mengi ya Kavita aliyotumiwa na NATO mpakani mwa Urusi.
Hv hizo hbr mnatoaga wap ? Mbona Putin siku anaivamia Ukraine alisema anaenda wasaidia wanaotaka kujitenga wala hakugusia swala la silaha hlf huko mpakan na urus kulikuwa na civil wars sasa aliwezaj kuweka silaha , nmechunguza wengi wenu mnaoisapot urusi mnaa misinformations nying ila hamjui uhalisia wowote wa huu mgogoro
 
Kwenye hili umepotoka sana ndugu yangu.

Jiulize, hivi nchi za Magharibi walipowaisaidia sana South Korea, hadi leo Korea kusini kufikia kuwa nchi tajiri kuizidi hata Urusi (achilia mbali North Korea ambayo wananchi wake wanaishi kwa kujikimu), South Korea wanalipa nini kwa mataifa ya magharibi? Je, wananchi wa South Korea wameuzwa kwa nchi za Magharibi? Jiulize pia, baada ya vita kuu ya Dunia, US iliisaidia sana Ujerumani Magharibi na Japan. Je, baada ya hapo hizo nchi zinailipa nini Marekani?

Na huko unakosema wananchi watauzwa, ebu fafanua, binadamu anauzwaje kutoka taifa lake kwa Taifa jingine? Maana binadamu siyo kitoweo au mchele.

Sioni namna ambayo Ukraine italazimishwa kumlipa yeyote. Urusi imepewa misaada mingi ya kifedha kutoka nchi za magharibi miaka ya 1900 mpaka 2000, imekuwa ikiyalipa nini hayo mataifa ya magharibi?

Sisi tuliwasaidia waganda, waSouth Afrika, Msumbiji, Komoro, Angola; je, wanatulipa nini?

Fahamu mpaka leo, wananchi wa North Korea wanauawa mpakani na South Korea, wakitorokea South Korea kutafuta unafuu wa maisha. Na kama kusingekuwa na sheria kali za kuwazuia wananchi wa North Korea kwenda South Korea, mamilioni ya wananchi wa North Korea wangehamia South Korea kuliko kubakia kwa yule Rais wao kichaa.
Asipokulewa Wagner waje wamsaidie
 
Zelensky ni mkuda sana, ni jirani muovu.

NATO imemtumia silaha nyingi sana kumchokoza urusi kabla ya ule uvamizi.

Kifupi Ukrain alikuwa anajiandaa na vita huku anachokoza kwa kuweka makombora mengi sana mpakani na Russia, tena makombora ya kupewa na NATO
Hizo hbr umetoa wap mkuu ? wkt hata serikali ya urusi wala putin hawajawai sema hizo stories , ProRussia weng mna habari za uongo sana kuhusu huu mgogoro , wengine wanasema et Kaivamia kisq Ukraine ilitaka kujiunga na NATO ila hii pia Putin hakuitaja kama sababu za kuivamia Ukraine , Putin aliivamia Ukraine kuyasaidia majimbo yaliyotaka kujitenga sio hizo story zenu maana kila mtu ana haki ya kuweka silaha popote pale kikubwa iwe ndan ya ardhi yake Fuatiria usipende stori za vijiwen
 
Huu uzi kila mtu ana uhuru wa kuchangia kile anachokipenda. Hivyo nisingependa unipangie cha kuandika. Na pia siyo lazima mawazo yangu/mtazamo wangu ufanane na wa kwako.
Wala sitak tufanane ila kuna vitu vinahitaj akili ndogo , ukikumbushwa usinune
 
Hv hizo hbr mnatoaga wap ? Mbona Putin siku anaivamia Ukraine alisema anaenda wasaidia wanaotaka kujitenga wala hakugusia swala la silaha hlf huko mpakan na urus kulikuwa na civil wars sasa aliwezaj kuweka silaha , nmechunguza wengi wenu mnaoisapot urusi mnaa misinformations nying ila hamjui uhalisia wowote wa huu mgogoro
Mkuu Habari,

Kwakuwa wewe una information za kutosha, unaweza niambia media unazotazama kuhusu huo mgogoro na mimi nikwambie kitu.
Taja zote tafadhali
 
Asimame yeye kama amiri jeshi mkuu na siyo kwenda kuwapigia magoti mabeberu
Ndio maana nlikuita jina la fedheha ukanuna ila upeo wako unasadiki majina ya fedheha , kwann usiwalaumu urusi pia kwa kuomba msaada Iran , North korea na china
 
Back
Top Bottom