Rais Zelensky wa Ukraine anapoomba NATO waweke "No fly zone" nchini Ukraine, je anajua athari yake kwa nchi yake? achilia mbali athari kwa NATO

Acha kujitoa ufahamu urusi hawezi kupigana na nchi Zote za NATO Na akabaki salama ni vile tu bado zina maslahi yao nchini urusi
Ni kweli Urusi haiwezi kupigana na nchi zote za NATO na ikabaki salama, lakini pia ni kweli kuwa nchi zote za NATO haziwezi kuipiga Urusi na zikabaki salama!!
Ngoja nikupe hii: Amerika imekuwa ikiishawishi poland itoe ndege zake za vita (Mig 29) kwa Ukraine halafu yenyewe itaipa Poland ndege zingine kufidia zile zilizotolewa na Poland. Poland ikakubali, lakini ikasema sisi tutawapa Marekani, kisha Marekani ndio wawajibike kuzipeleka Ukrane!! Mchezo ukawa umeishia hapo!! Marekani ikalalamika kuwa hayo hayakuwa mapatano!! Hakuna anayethubutu kufanya chochote kitakachohalalisha Urusi iishambulie!! Marekani keshaingia baridi tayari, na hakuwa na jibu lolote zaidi ya kulalamika kuwa hamkutujulisha hivyo kabla. Poland imeshashtuka kungali mapema kuingizwa choo cha kike na Marekani kama yule Zelensky wa Ukraine alivyojikuta kwenye choo cha kike!!
 
Russia mwwnyewe ana wababe wake

Russia alishawah kuchapwa na turkey walipigania Syria ..Russia alipigwa pigo akasanda
Rejea tena kumbukumbu zako vizuri!!! Kuangusha ndege moja ya Urusi haimaanishi hicho ni kichapo cha kushindwa. Kama ni hivyo Iraq iliziangusha ndege nyingi tu za Marekani wakati wa vita vya ghuba enzi za Sadam Hussein. Kwa hiyo tuseme Marekani na wapambe wake walichapwa na kusarenda!!! Dogo vita siyo lele mama!!! Hata ukipigana na mwanao utarajie hata makofi mawili kutoka kwake!!
 
Dogo, ile vita ilipigwa chin chin Russia ikaona itume ndege walau iwapunguzie mashambuliz askar wake wa ardhin

Walichokutana nacho walishangazwa, usimchezee Edogan ww weka mbali na watoto
 
Acha kuchukulia mambo kirahisi hata kama urusi ni moja na NATO ni wengi hilo halisaidii na wala haiwezi kuhalalisha hao unaowasema kushinda vita. mabomu ya nuclear sio bunduki za mikononi kwamba mtu anaweza kukwepa risasi ikipigwa! nuclear ikitua sehemu hadi mawe yanasagika.. na isitoshe nuclear huchukua eneo kubwa sana kupiga na kuua kwa wakati mmoja..Rusia anaweza kuwa peke yake dhidi ya NATO lkn hebu fuatilia siraha zake alizonazo.. ana Tsar bomb ambayo Ikitua moja tu inamaliza nchi yote ya England ikiwezekana na majirani zake Je akituma Tsar 5 hapo ulaya yote kwisha ndani ya dk 20 tu.. ko ndugu vita vya hawa wababe havina uwingi wala ukubwa wa jeshi bali itategemea timing ya kurusha nukes zake tu..
Silaha za nuclear anamiliki mrusi pekee?
 
Mbona unajitoa ufaham ndugu!?
Ni kwamba NATO hawana nukes!?
Halafu ushasahau km ukiigusa NATO umeigusa USA.
Na USA Ana nukes nyingi kuliko taifa lolote Tena advanced ones.

Ach uongo wewe
 
Russia mwwnyewe ana wababe wake

Russia alishawah kuchapwa na turkey walipigania Syria ..Russia alipigwa pigo akasanda
Imeloa una cheka, Urusi kuna vitaifa anavionea sanaa na anavipangia leo wale nini kesho wale nini .. ila kuna wajanja hatothubutu kuwagusaa moja wapo ni Turkey ya Edogan

Hawa Turkey mwaka jana walinunua technolojia toka Israel ya kulinda anga lake dhidi ya makombora
 
Ni kweli Urusi haiwezi kupigana na nchi zote za NATO na ikabaki salama, lakini pia ni kweli kuwa nchi zote za NATO haziwezi kuipiga Urusi na zikabaki salama!!
Ngoja nikupe hii: Amerika imekuwa ikiishawishi poland itoe ndege zake za vita (Mig 29) kwa Ukraine halafu yenyewe itaipa Poland ndege zingine kufidia zile zilizotolewa na Poland. Poland ikakubali, lakini ikasema sisi tutawapa Marekani, kisha Marekani ndio wawajibike kuzipeleka Ukrane!! Mchezo ukawa umeishia hapo!! Marekani ikalalamika kuwa hayo hayakuwa mapatano!! Hakuna anayethubutu kufanya chochote kitakachohalalisha Urusi iishambulie!! Marekani keshaingia baridi tayari, na hakuwa na jibu lolote zaidi ya kulalamika kuwa hamkutujulisha hivyo kabla. Poland imeshashtuka kungali mapema kuingizwa choo cha kike na Marekani kama yule Zelensky wa Ukraine alivyojikuta kwenye choo cha kike!!
Kitu ambacho pengine hamuelewi ni kwamba Russia is a nuclear power na hicho tu ndicho kitu kinacholeta ukakasi.

Mtu yeyote mwenye nyuklia akishazidiwa kwenye conventional war unafikiri nini anachoweza kufanya is most likely to press the button 🔘 and after that what do you think would be his adversary's reaction, they will also press the button 🔘 and after this the result is open.

Kwa hiyo ukiona watu wanaongea hapa kipuuzi puzi ni kwamba sio kosa lao hawajui madhara ya nyuklia na ndio maana baada ya mwezi huu kwisha na hii current standoff ikaendelea ambapo kwa Russia itakuwa ni mission failed, basi itabidi wafungashe virago na kurejea nyumbani Moscow ili kuepusha mengi.
 
Ni kweli Urusi haiwezi kupigana na nchi zote za NATO na ikabaki salama, lakini pia ni kweli kuwa nchi zote za NATO haziwezi kuipiga Urusi na zikabaki salama!!
Ngoja nikupe hii: Amerika imekuwa ikiishawishi poland itoe ndege zake za vita (Mig 29) kwa Ukraine halafu yenyewe itaipa Poland ndege zingine kufidia zile zilizotolewa na Poland. Poland ikakubali, lakini ikasema sisi tutawapa Marekani, kisha Marekani ndio wawajibike kuzipeleka Ukrane!! Mchezo ukawa umeishia hapo!! Marekani ikalalamika kuwa hayo hayakuwa mapatano!! Hakuna anayethubutu kufanya chochote kitakachohalalisha Urusi iishambulie!! Marekani keshaingia baridi tayari, na hakuwa na jibu lolote zaidi ya kulalamika kuwa hamkutujulisha hivyo kabla. Poland imeshashtuka kungali mapema kuingizwa choo cha kike na Marekani kama yule Zelensky wa Ukraine alivyojikuta kwenye choo cha kike!!
wapoland wamestuka mapema sana la sivyo wangeteseka sanaaa
 
Mbona unajitoa ufaham ndugu!?
Ni kwamba NATO hawana nukes!?
Halafu ushasahau km ukiigusa NATO umeigusa USA.
Na USA Ana nukes nyingi kuliko taifa lolote Tena advanced ones.
ana nuke nyingi?
acha kutupiga kamba
 
Kubali kwamba wewe ni mjinga ili nikueleweshe kuhusu mambo ya "No Fly Zone".
mbna mie sijawahi kua mjanja?
ingawaje huna unaloweza kunielewesha kuhusiana na no fly zone ambalo silijui labda wewe ndio nikueleweshe
hitimisho hakuna taifa lolote linaloweza kumuekea RUSSIA no fly zone ndani ya UKRAINE kwakipindi hiki cha vita hakuna na halijawahi kutokea kama lipo lieke
 
Kitu ambacho pengine hamuelewi ni kwamba Russia is a nuclear power na hicho tu ndicho kitu kinacholeta ukakasi.

Mtu yeyote mwenye nyuklia akishazidiwa kwenye conventional war unafikiri nini anachoweza kufanya is most likely to press the button [emoji820] and after that what do you think would be his adversary's reaction, they will also press the button [emoji820] and after this the result is open.

Kwa hiyo ukiona watu wanaongea hapa kipuuzi puzi ni kwamba sio kosa lao hawajui madhara ya nyuklia na ndio maana baada ya mwezi huu kwisha na hii current standoff ikaendelea ambapo kwa Russia itakuwa ni mission failed, basi itabidi wafungashe virago na kurejea nyumbani Moscow ili kuepusha mengi.
kama unajidanganya RUSSIA ataondoka UKRAINE pole sana
 
Mbona unajitoa ufaham ndugu!?
Ni kwamba NATO hawana nukes!?
Halafu ushasahau km ukiigusa NATO umeigusa USA.
Na USA Ana nukes nyingi kuliko taifa lolote Tena advanced ones.
Unapenda kujibishana tu! Mimi sijaisifia Russia wala NATO.. nimekwambia wote wana siraha za nekes ila kilichobaki ni kwamba atakayeshinda itategemeana na timing tu.. upande wowote unaweza kushinda au kushindwa
 
Silaha za nuclear anamiliki mrusi pekee?
Hujaelewa nilichoandika wewe.. ni kwamba wote wanazo siraha za nukes ila itategemeana na timing tu lakn upande wowote unaweza kushinda au kushindwa!!
 
Back
Top Bottom