Raisi samia: Nadhani hatuchukui hatua. Ni nani wanaotakiwa kuchukua hatua?

Shida ni kuwa nchi kwa sasa ni kama haina Rais. Imerudi tena ile awamu ya kuzurula nje ya nchi bila kujali kinachoendelea ndani.
 
Tangu mlipobadili fedha za Umma na kuziita fedha za Rais mkapoteza kabisa dhana ya kiwajibishana. Mwenye fedha akiamua kuwajibisha Sawa, akiamua kukaa kimya Sawa fedha ni zake.
 
Naona ni wakati sasa mama awe strictly,kuna watu akicheka nao watamuharibia...
 
Ati Sheria! Muungwana sawa, lakini hawa mbwa wataingia hadi madhabahun. Magufulicate them

we need to apply some sort of Magufulication
Kwani yeye Magufuli ndo aliwafanya nini
Afadhali ht useme JK angalau alithubutu kuwafunga mawaziri wawili
 
Ngosha alianzisha na mahakama ya mafisadi, tuambie nani aliwahi kufungwa...
 
Naona ni wakati sasa mama awe strictly,kuna watu akicheka nao watamuharibia...
Cha ajabu ni kwamba wanakomaa kuwachukulia hatua watendaji wa ngazi za vijiji kwa kuongeza m.1, 2 wanawaacha mafisadi wa viwango vya juu
 
Mama yuko makini sana, rule of law, wahusika wafanye kazi yao
 
Mama yuko makini sana, rule of law, wahusika wafanye kazi yao
Lakini, hapo kwenye high estimate, si ni yeye ndiye alisema vitu vitapanda bei? Au ilikuwa ni kwenye mchele, unga na bidhaa ndogondogo?
Your browser is not able to display this video.
 
JPM alipofeli ni ukatili tu kama isingekuwa hivyo basi angekuwa ni Rais Bora kuwahi tokea Toka tumepata uhuru.
Nchi hii bila ukatili haiendi hasa kwa wizi na rushwa na ufisadiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…