Raisi samia Suluhu Hassan tumwache aifanye kazi yake kwa amani, vinginevyo tutajikwamisha kwa namna hii

Raisi samia Suluhu Hassan tumwache aifanye kazi yake kwa amani, vinginevyo tutajikwamisha kwa namna hii

EMMANUEL JASIRI

Senior Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
150
Reaction score
84
Sasa hivi katika mitandao ya kijamii

Kuna kundi ambalo linaweka mijadala mingi ya kumlinganisha Raisi huyu utendaji wa Marehemu Magufuli

Hili kundi linaongozwa na Veronica France

Ni kama kundi hili lipo kinyume,halijaridhika kuona Samia Suluhu akiwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kundi hili haliungi mkono jitihada yoyote iliyo njema ya Raisi Samia Suluhu

Mbaya zaidi kundi hili linatumia lugha za kashfa na uchochezi

Mimi nawaomba ninyi Usalama wa Taifa hili kuwa,

Tumieni jitihada na uwezo mlio nao,angalau kupunguza au kutokomeza mtandao huu

Ili Raisi Samia afanikishe kile anacho kipanga kwa taifa

Mijadala ya kuvuruga inaweza ikatuletea machafuko hata vita vya sisi kwa sisi

Hawa wachochezi wasiachwe,maana Marehemu hayupo tena,pia Raisi Samia ame kaimu kwa mujibu wa katiba

Kundi hili nina amini lina nia mbaya

Kama kundi hili lingekuwa na nia njema ,malalamiko yao wangeyawasilisha kufuata kanuni na taratibu mbalimbali za kisheria

Tafadhali enyi Usalama wa Taifa,tusaidien hili kundi la Veronica France na wapambe wake lidhibitiwe.

Ni muhimu Raisi Samia akawa huru kuifanya kazi yake bila kubugudhiwa

Raisi Samia aachwe aifanye kazi yake

Kelele za mambo yaliyopita hazita tusaidia
 
MAMA SAMIA AACHANE NA MITANDAO AFANYE KAZI YAKE KWA AMANI, UHURU NA HAKI.

SASA HIVI KUNDI LA MAREHEMU LIMEJIKITA KUMKASHIFU MITANDAONI, LITAMTOA KWENYE RELI ASIPOKUWA MAKINI.

PIA KUNA KUNDI LA KINA OLE SABAYA, MAKONDA NA MUSIA HAWA WANAJUA MAOVU YOTE WALIOTENDA YANAKWENDA KUWEKWA WAZI KWA HIYO WAPO MITANDAONI KUMCHANGANYA MAMA KWA KUWA WANAJUA NI MTU WA KUONGOZA KUTOKA MITANDAONI.

USHAURI: MAMA AACHANE NA HABARI ZA MITANDAONI ZITAMCHANGANYA KABISA.
 
Back
Top Bottom