Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

Mkuu wa kaya hasafiri!?..baba yako hakuwahi safiri walau mwezi mmoja?..ni mkulima?..Mimi mzee wangu akisafiri mpaka miezi mitatu na aliporudi tulipaa kihadhi ya maisha
Naona mifano sasa haiendani tena na mada, acha mkuu wa kaya asafiri hata miezi mitatu kama mzee wako, tunaweza kupaa kihadhi ya maisha.
 
Tuna bahati mbaya sana kuongozwa na yezibieli
 
Ni kwasabb hata rais tuliye naye ni wa kutoka nchi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…