Naona mifano sasa haiendani tena na mada, acha mkuu wa kaya asafiri hata miezi mitatu kama mzee wako, tunaweza kupaa kihadhi ya maisha.Mkuu wa kaya hasafiri!?..baba yako hakuwahi safiri walau mwezi mmoja?..ni mkulima?..Mimi mzee wangu akisafiri mpaka miezi mitatu na aliporudi tulipaa kihadhi ya maisha