Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.

Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.

Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.

Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.

Wiki nzima utachokwa huko
 
Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii y Korea kusini ni ya pili sasa.

Usijali Raise ni Dr. Mpango huyo katumwa TU na yeye!Rais hawezi Kaa nje ya nchi muda mrefu hivyo!
 
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.

Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii y Korea kusini ni ya pili sasa.

Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.

Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.

Wiki nzima utachokwa huko
Tambua uraisi sio personal ni tasisi nzima, hata akiwa nje kila jambo linaendelea vizuri tu.
 
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.

Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii y Korea kusini ni ya pili sasa.

Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.

Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.

Wiki nzima utachokwa huko
Ukiwa na uhalika wa usalama wa nyumba yako, kusafiri kwenda kuchukua mali nchi za mbali kwa ujenzi wa nyumba yako sio kosa, kosa ni kwenda kula raha ikiwa nyumba Haina amani,furaha na usalama duni ,....
 
Unashangaa Et masuala ya kurekodi filamu, nayo anataka yeye ndio ahusike.

Huyu Bi mdashi ingeanzishwa nafasi ya "Wizara ya Kula Bata Ndani na nje "

Akapewa kwenye Urais KAPWAYA.
Mtasema sana wala bado maana yake tuna miaka mitano mbele Mungu akipenda hivyo
 
Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.
Kwani hajarudi toka Korea?

Umesahau alipohamia UAE kwenda kuuza bandari za Tanganyika?

Huyu sasa inajulikana ni kawaida yake, safari zake hizi za kwenda kujificha huko nje hazina neema kwa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom