Raja Casablanca FC wametegwa Makusudi na Simba SC na wameingia Mtegoni hawatoamini Macho yao

Kwa Simba hii,ni ngumu kuifunga raja,hata hao yanga nao hakupo vizuri Yani hizi timu zetu 2 hizi labda droo
Kwa Uchawi ambao nimeuona tokea Juzi, leo na nitakaouona hadi Ijumaa Usiku Raja Casablanca FC anafungwa Jumamosi na atajuta kuja Kucheza na Simba SC kwa Mkapa.
 
Toa neno mbumbumbu mkuu naelew vzr alichoandika na baada ya hapo nachanganua vzr habari so kiujumla sikurupuki mkuu ila wew ume comment ukiw na chuki na wivu ...nakuomb achana na hvyo vitu
 
Toa neno mbumbumbu mkuu naelew vzr alichoandika na baada ya hapo nachanganua vzr habari so kiujumla sikurupuki mkuu ila wew ume comment ukiw na chuki na wivu ...nakuomb achana na hvyo vitu
Sasa kama umeelewa kwanini unajitoa ufahamu?
 
Simba nawashauri ule moto mliouwasha uwanjani kule South Africa, safari hii msirudie tena kututia aibu mbele ya wageni wa CAF mtasababisha muondolewe - super cup?.
 
Jambo la ajabu ni kwamba hapa wadau wanamtusi na kumkejeli @MINOCYCINE, ila baada ya Jumamosi watakuja hapa tena kumpongeza kwa kuona mbali kabla ya mechi, na watamuona jamaa ni talented, na always imekuwa hivyo.

Au mmesahau ni akina nani waliofanya huyu mdau apate kura nyingi za member bora wa jukwaa la michezo na burudani la JF? Si ni sisi hawa hawa tunaoanza kwanza kumbeza anaweka uzi fulani, na uzi huo unapokuja na matokeo aliyoyatabiri mdau tunageuka tena kumwimbia pambio?
 
Azam alishinda hiyo saa 1 apo mkapa

Mechi ikiisha mtaanza Robertinho hafai
 
Kwa Uchawi ambao nimeuona tokea Juzi, leo na nitakaouona hadi Ijumaa Usiku Raja Casablanca FC anafungwa Jumamosi na atajuta kuja Kucheza na Simba SC kwa Mkapa.
Believe of science over fiction
 
Wayakuelewa saa 3
 
Popoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
 
Popoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Njoo uedit comment Yako huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…