Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Awa Horoya kwakweli ni famba sana aina yao ya uchezaji sijaielewa kabisa, Ni timu ambayo kiwango chake kiko chini sana labda kama wanayo aina nyingine ya uchezaji ambayo awakuitumia leo, lakini kama ndio uchezaji wao uko hivi basi watakuja kukutana na 5 nyingine kutoka kwa Raja casablanca
Wameshinda mechi ya leo kutokana na kukutana na mbovu mwenzake, Simba wanayo shida kwenye eneo lao la ulinzi wakikutana na timu inayowapelekea moto wanapoteana maana wanaacha mianya mingi ya kuwatungua, ata wakitangulia kufunga lazima wapinzani makini warudishe goli kwa mianya wanayoacha, Yote kwa yote kupigwa kwa simba leo ni motivation kwa timu ya wananchi kesho kufanya kweli