Raja Casablanca itatembeza sana vichapo kwenye hili kundi la wakina Sawadogo kama timu zenyewe ndio hizi

Raja Casablanca itatembeza sana vichapo kwenye hili kundi la wakina Sawadogo kama timu zenyewe ndio hizi

Timu imecheza vzri tu ila , akoss madogo yameshinfwa kuwapa point Moja watani lkni wakija wale kwa mkapa kipigo Cha mbwa Koko watapigwa kifupi Simba inatakiwa game na raja apate 3 akikosa basi hata Moja Inamtosha lkni wakija vipers wanakufa hpa na hta kwao sare watapata
Mbwembwe zoote zile kukwea pipa, sijui kucheza na CSKA Moscow FC ya Russia kumbe mlikwenda kutalii tu Dubai???

Msirudie tena kuleta mbwembwe kwenye maswala makini [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom