Timu imecheza vzri tu ila , akoss madogo yameshinfwa kuwapa point Moja watani lkni wakija wale kwa mkapa kipigo Cha mbwa Koko watapigwa kifupi Simba inatakiwa game na raja apate 3 akikosa basi hata Moja Inamtosha lkni wakija vipers wanakufa hpa na hta kwao sare watapata