Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

Harmonize ni mtu poa sana anachangamoto chache ambazo kama angeweza kuzifanyia kazi angeiprove personality na character yake .... ana arrogancy ya hali ya juu angeweza kuwa humble angefika mbali
 
Hao ndio tunawahitaji tuwajaze bungeni na wakina Musukuma, Kibajaji etc

Hao tukipeleka muswada bungeni wanagonga meza tu kuunga mkono hoja maana hata kilichoandikwa ndani hawakielewi.

Bunge la kisayansi 2020-2025 linawezekana, tuwaunge mkono wagombea wa dizaini hii kwa wingi.
Kwani huyo pia atagombea kupitia chadema?
 
Amesababisha wasanii wote wametoa nyimbo za kumtukuza Yesu ili na wao wapewe majimbo yao.

Dogo janja
Kala jerimiah
Nandy
N.K Wote imewabidi watoe nyimbo ya kumtukuza Yesu
Sasa ulitaka wamtukuze shetani?
 
Go son go and GET the chair lol!

Sasa Shida inaweza kuja kwenye muda wa kufanya muziki na namna pia ya kufanya muziki, kwani mentaliti za watu wengi wanategemea Mbunge awe na muonekano wa heshima katika jamii sasa zile scene zetu umezungukwa na warembo wanakushika shika...

Sema it's just about time Dunia inatakiwa ikubali sasa kwemba mabadiliko ni lazima.
 
Kweli maana hata Sugu, prof Jay nilishangaa kupata ubunge kwa elimu waliyonayo
Nchi za Kiafrika sheria mnatungiwa na Form 4 leaver inakuja kutafsiriwa na Mahakama huku mhudumu wa mortuary inabidi awe angalau form four plus certificate ya uhudumu wa mortuary.
Sometimes watunga sheria wengine ni la saba tu
 
Ndio iko hivyo,na tuna kamsemo ketu huku 'kama vile ulivyoamua kunipa cheo kile na sasa umekitwaa jina lako lihidimiwe.'
Mnafanya vizuri kurudisha shukrani, hongereni sana kwa kumtegemea Yesu Kristo! Nlifikiri nyie ni mapagani tu.
 
Mnafanya vizuri kurudisha shukrani, hongereni sana kwa kumtegemea Yesu Kristo! Nlifikiri nyie ni mapagani tu.
Amen, yaani 'Yesu' wa huku kwetu kila ukimtaja lazima utaje majina yake yote manne huku ukitanguliza neno jemedari.

Ukifanya hivyo mambo tawireeee.
 
Back
Top Bottom