Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

Amen,yaani 'Yesu' wa huku kwetu kila ukimtaja lazima utaje majina yake yote manne huku ukitanguliza neno jemedari.

Ukifanya hivyo mambo tawireeee.
Mnafanya vizuri! Yesu ni muweza wa yote! Mmefanya vizuri san kutoa maisha yenu kwa Yesu. Vinginevyo mkifa mngekutana n moto wa milele! Sasa kwa hatua hiyo tegeemeni uzima wa Milele. Amen
 
Amen amen,'Yesu' wetu ndio mwamuzi wa kila kitu na hata wazee wastaafu wa baraza la makuhani wanaenda kumuomba msamaha kila uchao na hua anawasamehe huku akiwaambia nitakalowafungia mimi duniani na hata mbinguni kwa baba yangu mtakua mmefungiwa.
 
Safi kabisa! Ukimkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako hakika uko ktika njia sahihi!

Sasa jitahidi kuwashawishi na wenzio ambao hawajamkiri wafanye hivyo!

Kumbuka sana lile neno la nendeni ulimwenguni kote mkaitangaze injili, mkiwafanya mataifa kuwa wanafunzi wangu. Hakika utabarikiwa sana.
 
Amen, kwa hakika tunafanya hivyo kwa ustadi mkubwa na hata wiki iliyopita kuna mwanafunzi wa 'Yesu'kutoka kule mwibala aliendelea kutangaza kazi nzuri za kutukuka zinazofanywa na 'masiha' wetu mpendwa.

Abarikiwe sana.
 
dogo anajua kuzitumia fursa kama vipi sisi tumtakie mafanikio mema ingawa tunajua ccm haiko damuni kwake
 
Kwa hiyo John Pombe Joesph Magufuli ni YESU?
MUNGU ANAWAONA...kuna siku atawapigia msiache kupokea simu
Safi kabisa! Ukimkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako hakika uko ktika njia sahihi!

Sasa jitahidi kuwashawishi na wenzio ambao hawajamkiri wafanye hivyo!

Kumbuka sana lile neno la nendeni ulimwenguni kote mkaitangaze injili, mkiwafanya mataifa kuwa wanafunzi wangu. Hakika utabarikiwa sana.
Amen amen,'Yesu' wetu ndio mwamuzi wa kila kitu na hata wazee wastaafu wa baraza la makuhani wanaenda kumuomba msamaha kila uchao na hua anawasamehe huku akiwaambia nitakalowafungia mimi duniani na hata mbinguni kwa baba yangu mtakua mmefungiwa.
Mnafanya vizuri! Yesu ni muweza wa yote! Mmefanya vizuri san kutoa maisha yenu kwa Yesu. Vinginevyo mkifa mngekutana n moto wa milele! Sasa kwa hatua hiyo tegeemeni uzima wa Milele. Amen
Amen,yaani 'Yesu' wa huku kwetu kila ukimtaja lazima utaje majina yake yote manne huku ukitanguliza neno jemedari.

Ukifanya hivyo mambo tawireeee.
Mnafanya vizuri kurudisha shukrani, hongereni sana kwa kumtegemea Yesu Kristo! Nlifikiri nyie ni mapagani tu.
Ndio iko hivyo,na tuna kamsemo ketu huku 'kama vile ulivyoamua kunipa cheo kile na sasa umekitwaa jina lako lihidimiwe.'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndio tunawahitaji tuwajaze bungeni na wakina Musukuma, Kibajaji etc

Hao tukipeleka muswada bungeni wanagonga meza tu kuunga mkono hoja maana hata kilichoandikwa ndani hawakielewi.

Bunge la kisayansi 2020-2025 linawezekana, tuwaunge mkono wagombea wa dizaini hii kwa wingi.
Naunga mkono hoja
 
My life has been a chronology of changes - Malcom X. Aliyasema maneno hayo akikumbushia njia ndefu ya maisha yake ya siku za nyuma, aliwahi kuwa dalali wa wanawake (pimp), aliwahi kuwa jambazi. Baadae akawa mwanaharakati wa kimataifa.

Hakuna ubaya kwa Harmonise kuwa na ndoto za ubunge, pengine anaweza kuleta mabadiliko makubwa huko nyumbani alipozaliwa.
 
Back
Top Bottom